Milambo high school alumni

Milambo high school alumni

hitler2006

JF-Expert Member
Joined
Sep 1, 2014
Posts
489
Reaction score
457
kwa walambo wote wa miaka hiyo unakumbuka nini juu ya shule yetu nzuri.
 
kwa walambo wote wa miaka hiyo unakumbuka nini juu ya shule yetu nzuri.

Shule ya wanaume, sio boys. Nakumbuka ngema na wali kule juu kwa mwarabu. Jubwa kiongozi mkuu wa kileo. Wanaume kwenda kuwapaka kinyeshi wanawake kule girls. Pamoja kuwa ni shule pia ilikuwa kambi ya kijeshi.
 
Mnajua kuwa Lowassa pia ni mlambo?

Mimi nilisoma kipindi cha mabuye kidogo kabla hajafuatiwa na majubwa
 
Mzee msengi, mabanzi, zoma, chemchem, kimbembe, center, makokola, mwinyi, jubwa

Ni baadhi ya misemo inayozunguka kichwani kwa sasa.
 
Milambo siku hiyo walituvamia pale tabora school tulikuwa na dance na Warsaw tulipigwa sitasahau.wakorofi sana
 
Milambo siku hiyo walituvamia pale tabora school tulikuwa na dance na Warsaw tulipigwa sitasahau.wakorofi sana

Haahaaaah, nakumbuka katika maharagwe ya shule kulikuwa na wadudu weupe tulikuwa tunawaita waboizia.

Halafu elezea kisa cha kupigwa, kisa hakikuwa disco na girls. Heeheehe

Ila kwenye kimbembe mwinyi mlikuwaga wanyonge sana.
 
kisa waschana wa t.girls. Milambo shule ya wahuni si wajua tena boyzia wazee wa kukaza vijana wanasoma kama wametumwa na kijiji.
 
Milambo wanatupiga na wanatuchukia kisa tunawazidi kila idara jamani mpaka nyimbo kanisani pia
 
kimbembe mwinyi ilikua balaa.wanaelewa waliosomaTABORA GIRLS na WABOIZIA
 
Milambo kuna ticha mmoja alitoka kibondo hahaha ni noma
 
Daaahhh...

katika hatua zangu zote za elimu nilizo pitia, kamwe sitosahau milambo,

Ilikuwa mwaka 2007 nilipo kwenda kuripoti kidato cha tano (EGM).. kiukweli kipindi hicho shule ilikuwa imechafuka kwa vurugu, nakumbuka usiku ule nilio ripitiwa, kuna jamaa walipigana chupa za shingoni, daahh dizain kama walikuwa wana chinjana, ww acha tu ile shule nadhani ilikuwa na laana, sio bure!!

Kubwa zaidi sitosahau ule mgomo wa 2008, ilikuwa ni balaa...

YAPO MENGI YA KUKUMBUKWA, ila asante mungu, licha ya changamoto zote hizo, bado Tulifanikiwa kufanya vizuri sana kitaaluma..!!

MILAMBO NDIO CAMP AMBAYO IMENIFUNZA MENGI SANA, PENGINE KULIKO HATA VYUO VYOTE NILIVYO PITIA..!!
 
Back
Top Bottom