Mila, desturi na tamaduni

Ben Zen Tarot

JF-Expert Member
Dec 13, 2014
3,907
6,697
Kila tamaduni ina ushirikina lakini tamaduni za Kiafrika ndio zina onekana zina ushirikina.

Ushirikina ni hali ya kuongoza muongozo wa Mungu na si muongozo wa Mungu kukuongoza. Kwa mfano, mtu anaigeuza Quran na kuifanya atakavyo huyo ni mshirikina anadhulu watu kwa kushirikisha kitabu cha Mungu.

Mtu anayetumia biblia kinyume kwa maslahi yake huyo ni mshirikina.

Mchawi anapokula kiapo, hukojolea msaafu na kukataa kitabu kitabu hicho kuwa cha Mungu na kuahidi kimtumikie!
Mchawi wa kikristo hufanya hivyo hivyo kwenye biblia huo ndo ushirikina.

Mungu ameumba Dunia na kutumilikisha kila kitu na kusema tuvitumie.

Je, majini amewaumba tuwatumie kwa kazi gani?

Kama ilivo miti inaweza kutumika kwa tiba za asili nk

Je Simba, chui nao wameumbwa tuwatumie kwa kazi gani?
 
majini according to my experience (mtu kanifanyia ushirikina) are very easy to manipulate

nimeona matangazo yakisema kuna watu wanayauza. wakati niligundua yanategemea ubongo wangu kunisumbua (relying on everything i know), nilijua waweza kuyachanganya, before this zilikua zinanitisha na kuniogopesha kwa lazima.

hii naona ndio basis ya wanaoyafuga ama kuyatumia. zaidi ya hayo, yanweza kumanipulate mwili jinsi you couldn't imagine. kwa mfano mtu huyu huniibia usingizi ovyo, kunitumia homa, n.k. shit natamani kulipiza
 
Back
Top Bottom