Lonelyness
Member
- Aug 14, 2015
- 28
- 12
Nimedunduliza vipesa kidogo nimepata 3milions, nataka kufungua grocery, itafaa wapendwa? Je nikiongeza na chips na mishikaki hapohapo grocery itafaa au mshika mengi hukosa vyote? Nitaajiri wasaidizi wawili, mimi ni mwajiriwa serikalini nanina idea yabiashara kidogo.
Naombeni msaada wenu wapendwa
Naombeni msaada wenu wapendwa