mitale na midimu
JF-Expert Member
- Aug 26, 2015
- 10,420
- 17,728
Hii ni kauli iliyotoka kwa Jumuia ya Vijana wa North korea (North Korean Youth League) kwa mujibu wa gazeti la The Sun la Uingereza.
Kauli kutoka kwa Umoja huo inasema watawafuta maadui wao wote kwa "Nguvu za Nyuklia zisizoonekana".
Wakati huo huo wanadai mmoja wa wasemaji wao anasema wanampango kwa Kufanya majaribio SIta ya Nucklia bila kusema watayafanyia wapi na lini.
Rejereo
KIM’S KIDDIE KILLERS
North Korea insists it will ‘NEVER stop’ nuke tests and vows to wipe out US with ‘five million atomic bombs’ carried by kids
North Korea vows to wipe out US with '5million nuclear bombs' carried by children