Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,843
- 43,312
Wasalaam!
Ni wazi kabisa naa kila mwenye macho anajua fika kabisa wabunge walipelekwa bungeni kujenga hoja na si kufanya vurugu na kudharau kiti cha spika! Na watu wanatakiwa kujua kuwa kufukuzwa kwao hao wanasiasa bungeni haku husiani kabisa na kutetea bunge kuoneshwa live au kutetea wanafunzi wa UDOM bali imetokana na ukaidi wao na vurugu walizo fanya january!
Sasa walipopewa adhabu ya kuto hudhuria vikao vya bunge njia pekee walio bakiza ni kwenda kufanya vurugu mitaani na kuharibu shughuli za uchumi mitaani! Kama watu wameweza kufanya vurugu bungeni hawashindwi kwenda kuwahamashisha wananchi kwenda kufanya vurugu mitaani na maandamano ambayo hayana tija!
Wanacho kwenda kufanya ni kwenda kuwapotosha wananchi na kuwashawishi wafanye vurugu huku wao wakiwa nyuma! Wananchi wanatakiwa kufahamu kuwa hao wanasiasa huacha familia zao nyumbani zikiwa salama na kwenda kushawishi familia za wengi zikafanye maandamano na vurugu!
Hivyo naiomba serikali ipige marufuku mikutano na maandamano ya hawa wanasiasa walio shindikana bungeni kwani itakuwa kichocheo cha kusitishwa shughuli za maendeleo na uvunjifu wa amani nchini!
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais John Pombe Magufuli!