Muulize faru john aseme akujibuNdugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
CCM inamwogopa Lowasa.Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
Sukari ilikua 5,000Mikutano ya siasa haswa kutoka kwa wanasiasa mahili ni lecture tosha kwa wananchi. Inawafumbua macho, inawaonesha ukweli na kuutofautisha na uwongo.
Yule mfalme amezoea kuishi kwa uwongo hivyo mikutano inamvua nguo na kuyaanika madhaifu yake ambayo ni mengi mno
Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.Ndugu watanzania wenzangu naomba kwa heshima na tadhima mnisaidie kunijibu swali langu ambalo nimekuwa nikijiuliza kichwani kwangu bila mafanikio
Swali lenyewe linauliza hivi swali la kwanza je, mikutano ya kisiasa inakwamisha vipi maendeleo ya viwanda?
Swali la pili, je,chadema wakifanya mkutano wao uwanja wa jangwani,mkutano wa kisiasa je mkutano wa chadema utakamwisha vipi maendeleo ya viwanda?
Katiba inasema nini?Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.
Mikutano ya CHADEMA unayouluza wewe ni mgeni nchi hii? Huijui Chadema? Wao wanataka mikutano isiyo kikomo. Ya nini? Ya kutoa matusi kwa Rais, yanatoka leo kwa Halima Mdee au kwa Lisu au kwa Mchungaji Msigwa. Ni uchochezi mtupu, watu wadharau serksli halali.
Mikutano ya Chadema itatuletea nini? Si ni ukupoteza muda wa kulima, wa kufanya kazi, muda wa kuwandani. CHADEMA pia wanataka Bunge live, sasa kazi utafanya saa ngapi na Tv live uangalie saa ngapi?
Nyerere alisema: UHURU NA KAZI. Uhuru wa CHADEMA ni wa kumtukana Rais, kumtukaba Mkuu wa Mkoa, kutukana vyombo vya usalama. Siku hizi wanaenda hadi Nairobi kututukana zaidi, kuitukana Muhimbili, ba kumtukana Rais.
Uhuru wa nne wanataka kuiba nyaraka za serkali na kuwapa maadui wakachukua bombardier ndege yetu. Uhuru huo wa CHADEMA hatuutaki.
Sio kuwa inasaidia elimu ya uraia?Geuza swali mkuu,liwe constructive uliza hivi Mikutano ya siasa inasaidia vipi maendeleo?
Sent from my TECNO 7C using JamiiForums mobile app
Umeishia la ngapi!?Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.
Mikutano ya CHADEMA unayouluza wewe ni mgeni nchi hii? Huijui Chadema? Wao wanataka mikutano isiyo kikomo. Ya nini? Ya kutoa matusi kwa Rais, yanatoka leo kwa Halima Mdee au kwa Lisu au kwa Mchungaji Msigwa. Ni uchochezi mtupu, watu wadharau serksli halali.
Mikutano ya Chadema itatuletea nini? Si ni ukupoteza muda wa kulima, wa kufanya kazi, muda wa kuwandani. CHADEMA pia wanataka Bunge live, sasa kazi utafanya saa ngapi na Tv live uangalie saa ngapi?
Nyerere alisema: UHURU NA KAZI. Uhuru wa CHADEMA ni wa kumtukana Rais, kumtukaba Mkuu wa Mkoa, kutukana vyombo vya usalama. Siku hizi wanaenda hadi Nairobi kututukana zaidi, kuitukana Muhimbili, ba kumtukana Rais.
Uhuru wa nne wanataka kuiba nyaraka za serkali na kuwapa maadui wakachukua bombardier ndege yetu. Uhuru huo wa CHADEMA hatuutaki.
Hapana,uraia ni somo la shule ya msingi. Kila mtu mzima anayeweza kwenda mkutanoni ameshamaliza angalau darasa la saba,kama hakwenda ni ngumu hata kuelewana kiswahili.Sio kuwa inasaidia elimu ya uraia?
Ungesoma kwanza katiba inasemaje.Mkuu mbona ubsuluza maswali ya kitoto? Maendeleo ni kulima ndugu yangu, si porojo. Maendeleo ni kazi Viwanda ni asubuhi kazi hadi jioni uko kazini.