Mikopo ya wanafunzi wa diploma

Mikopo ya wanafunzi wa diploma

Joined
Dec 1, 2011
Posts
10
Reaction score
4
Siku za nyuma kidogo nilieleza jinsi waanafunzi wanavyochaguliwa vyuo vya kati hasa vya Afya isivyo kuwa na utaratibu mzuri. Nikaeleza kuwa vyuo hivyo vinachukua wanafunzi wenye points 10 mpaka 18. Mwanafunzi aliyesoma shule ya kata ,ambaye MIAKA yote ameangaika kupata Mwalimu wa Physics kwa mfano,kupata points 10 ni miujiza. Nikaendelea kushauri kuwa vyuo vikiweka vigezo vya kujiunga kwn vyuo ,waanze kuchagua wanafunzi kutoka shule za kata kama wanakidhi vigezo. Leo nitaongelea mikopo ya vyuo vya kati. Baada ya wanafunzi wa shule za kata kutupwa nje kwn mzunguko wa kwanza na vyuo vya Serikali vya kati, wazaz waligeukia vyuo binafsi. Mpka leo majina hayajatoka,na mwisho wa kuomba mkopo ni 30 mwezi huu( kama hawajabadirisha). Sasa hata kama matokeo yatatolewa leo,mzazi aombe RITA kubadiri chet cha kuzaliwa itamchukua kama siku 3( MAANA vyeti vya zamani hawavitaki na huku walivitoa wao). Mwishoe utakuta watoto waliyosoma shule za kata wanatupwa nje ya utaratibu wa utoaji wa mikopo.
Nimejiuliza maswali mengi...labda ni mkakati wa watu fulani kuhakikisha watu wa maisha ya chini wanazidi kuwa nje ya utaratibu wa Elimu? Waziri Adolf kaka yangu ingilia kati.
 
afirika hivo ni vitu vinatokea kila siku(kwenye kila sekta)......
kwakua afirika wanaishi ngozi ya taa call,usitegemee mabadiliko
cha msingi omba mungu huku ukifanya juhudi.
btw, haya matatizo ya mikopo na mengine usije kudhani yataisha afirika
sio tamzaniya tu, nchi zote za ngozi ya taa call ndo hivi hvi...
kuhusu ushauri kwa sere kari, kila platform ya mtandaoni(hasa humu JF) WATU WAMETOA USHAURI NA MAPENDEKEZO YA KUTOSHA, NA VIHONGOZI WAPO ILA WANAINJOI BIRIANI LA TAHIFWA....

POLENI WADOGO ZANGU WA DIPLOMA KWA CHANGAMOTO, MSIACHE KUFANYA HATA KAMA WANAAWAWEKE VIHIKWAHAZO
 
Back
Top Bottom