Mikopo ya nyumba kwa walimu (watumishi)

Mikopo ya nyumba kwa walimu (watumishi)

Msingida

JF-Expert Member
Joined
Dec 1, 2010
Posts
10,571
Reaction score
12,208
Nimesikia Bungeni Naibu waziri Mh.Majaliwa Kassim akijibu swali la mbunge aliye taka kujua mpango wa serikali kuhusu suala la makazi ya Walimu katika maeneo ya makazi;alijibu kuwa serikali inatoa mikopo ya nyumba kwa walimu na watumishi wengine wa serikali.Pia serikali iko mbioni kujenga nyumba kadha.....
Swali,
Mikopo hiyo Mtumishi anaipataje? (procedure)
 
hamna kitu kama hicho.....ni siasa kama kawaida yao.
 
ukiwaskiliza sana ao watu utashindwa kufanya mambo ya msingi maana wengi awajitambui kifikra.
 
Back
Top Bottom