a sinner saved by Christ
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 3,968
- 4,565
Maafisa mikopo hawafafanui kuwaelewesha vizuri customers wao pale anapochukua mkopoWakati wenzio wanasoma kuhusu compound interest wewe ulijifanya mjuaji...kama riba ni 17% ina maana ni mwaka mmoja ,ila the more years of repaying the higher interest you face.
ukikopa milioni 25 unalipa 5025 unalipa 100 benki gani?
Ps. Ni kweli riba ni kubwa
Mkuu ukikopa 25 ukalipa 50 riba siyo 50 % bali ni 100%ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20
kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi
japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22
ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu
kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka
NI MIKOPO KAUSHA DAMU
Ni Bora tujiakaange kwa mafuta yetu wenyeweSerikali ingetaka kuwasaidia watumishi wake INGEWAONDOLEA hili jini KAUSHA DAMU ,RIBA kubwa isiyostahimilika ni mzigo wa msumari..kuna watumishi wengine salary slipi zao zinalia machozi...
mtu anafanya kazi mwisho wq mwezi..pesa yote inaishia kwenye makato ya mkopo KAUSHA DAMU...hili ni jini linalofyonza damu.
maelezo yako hayajakaa sawa. ukikopa 25M utadaiwa 100M? 50% ya 25M siyo 12.5M? sasa ukichukua 25M ukijumlisha 12.5M jibu ni 100M????????Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU
riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.
japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila utakapoanza kilipa na deni unalodaiwa litakaloandikwa kwenye salary slipi yako ni tofauti.
KAMA INAWEZEKANA mtumishi wa umma usichukue hii mikopo ya mabenki,bora ukope kwenye vikoba/saccos.
Wakati wenzio wanasoma kuhusu compound interest wewe ulijifanya mjuaji...kama riba ni 17% ina maana ni mwaka mmoja ,ila the more years of repaying the higher interest you face.
ukikopa milioni 25 baada ya miaka 6 au 7 utatakiwa ulipe milioni 50.maelezo yako hayajakaa sawa. ukikopa 25M utadaiwa 100M? 50% ya 25M siyo 12.5M? sasa ukichukua 25M ukijumlisha 12.5M jibu ni 100M????????
ukikopa milioni 10 baada ya hiyo miaka 7 utatakiwa ulipe milioni 20 yani unalipa mara mbili yake.Hebu tusaidie kabla sijaenda kukopa 10M ya kurudisha ndani ya miaka 7😎
sasa wewe ulitaka ulipe hiyo milioni 50 baada ya muda gani? miaka 15?ukikopa milioni 25 baada ya miaka 6 au 7 utatakiwa ulipe milioni 50.
Miaka saba kwa rate ya 17% means interest yake ni 119% ..Utarudisha 21,900,000/= bado kuna chaji nyingine na hiyo mil 10 utapata Pungufu ; watakula processing fees na insurance ya mkopo kitu kama hicho. All in all jiandae kurudisha milion 22 ila kwa rate ya interest 17% kwa mwaka kama zaidi ya hapo utazidi kulipa mpaka ukome.Hebu tusaidie kabla sijaenda kukopa 10M ya kurudisha ndani ya miaka 7😎
Hiyo ni 100% siyo 50% mkuu.ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20
kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi
japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22
ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu
kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka
NI MIKOPO KAUSHA DAMU
Sio kweli, mimi ni mmoja wa wanufaika wa mkopo wa CRDB, kipindi nakopa interest ilikuwa 13%Mikopo ya mabenki kwa watumishi wa umma ni KAUSHA DAMU
riba yake ni 50% ukikopa milioni 25 utadaiwa milioni 100,ukikopa milioni 5 utalipa milioni 10
na tena ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka 7,8,9 ndio unajichimbia kaburi.
japo kwenye mikata yao watakuandikia riba ni asilimia 16% ila utakapoanza kilipa na deni unalodaiwa litakaloandikwa kwenye salary slipi yako ni tofauti.
KAMA INAWEZEKANA mtumishi wa umma usichukue hii mikopo ya mabenki,bora ukope kwenye vikoba/saccos.
mkuu unaijua asilimia 50 ya mkopo? ukikopa milioni 10 ukalipa mil 20 maana yake ni asilimia 100 ya mkopo, wewe ni mtumishi wa umma kweli?ukikopa milioni 25 unalipa 50
ukikopa milioni 50 utalipa 100
ukikopa milioni 10 utalipa 20
kwa kifupi RIBA ni asilimia 50% ya ulichokopa hasa ukichukua mkopo wa muda mrefu miaka mingi
japo kwenye mikata yao wanakuandikia riba ni asilimia 16 au 17 au 20 mpaka 22
ila utakacholipa ni riba ya 50%
nusu kwa nusu
kama kuna waliochukua mikopo ya muda mrefu kuanzia miaka 5,6,7 na sasa wameongeza muda wa miaka ta marejesho nabkadiri miaka ya kulipa inavyoongezeka,ukichukua mkopo wa muda mrefu ndio utalipa deni kubwa zaidi riba inaongezeka
NI MIKOPO KAUSHA DAMU
mtumishi wa uma hajui hata asilimia 50 za mkopo zinakuwajeHiyo ni 100% siyo 50% mkuu.