Mikopo ya haraka inapatikana

Somi

JF-Expert Member
Feb 7, 2009
3,604
4,359
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com
 
mi nina jamaa anatoza riba asilimia 30 dhamana gari au pikipiki hataki kiwanja au nyumba.
 
Riba 35%, kwa miezi miwili ni 70% ukikopa 1m utarudisha 1.7m, piga kwa miezi au mwaka utarudisha shs ngapi. Huu ni zaidi ya wizi na unyanyasaji, hela halali haitafutwi kwa nguvu kiasi hiki!
 
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com
Kwa akina ''mali kauli''hakuna mkopo au ni njia zipi za kupata huo mkopo ,mengine baada ya jibu
 
Mie nina viwanja havina title deed hila vina hati ya serkali za mtaa vp mnaweza kunikopesha?
 
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com

Are you a registered entity? Even-though, do you think your interest rate to be viable?
You sound like papaa Msofe and Gonzaga of Easy Finance, their accumulated assets emanated from this kind of scum.
Practically, you can not invest any amount of money to generate profit at that rate labda unga (drugs).
 
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com

Duh! utapeli nje nje, riba hiyo ni wizi juu ya wizi. hata huruma hamuna jamani???????????????/
 
mmh huo ni zaidi ya wizi,ndio maana unakimbilia kushika hati za asset na asset yenyewe tena waweka yadi ili iwe haishamiki kwani unajua lazima mwishoni mtu atachemka then unakuwa kwenye nafasi ya kutaifisha. hapana rekebisha masharti ya riba yako hiyo
 
Back
Top Bottom