Mikopo ya haraka inapatikana

Mikopo ya haraka inapatikana

asije kuwa anaandika kupima upepo wa jazba ndo apange riba na masharti... smart move though..
 
Du!huku tunakoelekea sasa sijui wapi??riba asilimia 35??hata haya mabenki riba ndo hizohizo kwasasa sijui wnalengo la kutuwezesha kweli au wanazuga tu
 
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com

Huo mkopo unaanzia sh ngapi hadi sh ngapi?
 
Upumbavu

Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
 
Kidogo info zako ziko nyepesi, wazo zuri, unakopesha kwa riba(ila ni kubwa mno, ungefanya 25%), pia weka details zako zote, unaogopa nini?
 
Kwa dhamana ya gari riba ni asilimia 35 kwa mwezi unapaki gari kwenye yadi yetu na kukabidhi nyaraka za gari. Kwa dhamana ya nyumba yenye hati( title deed) riba ni asilimia kati ya 20 na 25 kwa mwezi unakabidhi nyaraka za nyumba. Wenye kuhitaji nitumie meseji au tuma email uweke contact na jina lako; somigroup@yahoo.com

Bado mnaendelea na hii biashara? Wezi wakubwa, riba 35% kwa mwezi?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom