Baraka Essau
Member
- Jun 19, 2023
- 7
- 6
Ooooh ahsante kwa kunitaarifu ndugu.Bajeti haijapitishwa.
Soma hapoHabari ninaomba kujua pia
Je mikopo iliyotangazwa na serikali katika vyuo vya kati imeshaanza kutolewa?
Maana kuna wengine tulishindwa kuanza masomo kwasababu ya kukosa ada kwa hiyo nategemea sana mikopo na nina hitaji sana kuendelea na masomo.
Mbona haifunguki mkuu
Wow ahsante nimeipata mkuu
Mkuu sio feki hiyo, coz kuna link inasambaa but no fekiWow ahsante nimeipata mkuu
Taarifa iliyotolewa na taasisi ya mikoponi kuwa online links zitaanza rasmi wiki ya kwanza ya mwezi wa sabaMkuu sio feki hiyo, coz kuna link inasambaa but no feki
Hakuna kitu hapo hizo ni PorojoTaarifa iliyotolewa na taasisi ya mikoponi kuwa online links zitaanza rasmi wiki ya kwanza ya mwezi wa saba
Hakuna kitu hapo hizo ni Porojo
Ni sawa hatuna hiana sisi lengo wote wafike, Shida ni Samia hana Pesa hiyo bora tuendelee kununua Magoli ya kina Mayele.Hii bodi ilianzishwa kwaajili ya watoto wa masikini,waliokuwa na ufaulu mzuri,lakin uwezo wa familia ulikuwa mdogo kuwawezesha kupata elimu ya juu,kwa maana ya degree na kuongeza wigo wa wasomi wa degree nchini.
Sasa kutaka kuwapa mikopo watu waliofel na wanaotaka shortcut ya elimu mimi naona siyo sawa.
🤣🤣Magoli yanampa uhakika wa kura,sasa wanachuo watampa nn? ukizingatia wakielimika wanaikataa ccm?Ni sawa hatuna hiana sisi lengo wote wafike, Shida ni Samia hana Pesa hiyo bora tuendelee kununua Magoli ya kina Mayele.
Siasa imeingia boardini.
Unasimamisha kucha Mbele ya Afande alielamba asali unajitakaMagoli yanampa uhakika wa kura,sasa wanachuo watampa nn? ukizingatia wakielimika wanaikataa ccm?
Nakumbuka enzi tuko chuo,kipindi Cha kunji aka migomo vyuoni kugombea maslah ya wanachuo,ilikuwa wakiletwa hao polisi kuja kutuliza ghasia,tunawaambia"nyie mlikimbia umande hamuwezi tuelewa sisi wasomi"
Vijana saivi hawana ari ya kusimama kidete na kupigania maslah yao.
No tulikuwa wakifika wote tunachuchumaa,tunaendelea kuimba na kuwadis,so hawawezi kupiga mtama unechuchumaa🤣Basi madogo waendelee na hizo mishe zao 🤣 hawajui siasa ndo inaamua hata hiyo mikopo wanayoililia?Unasimamisha kucha Mbele ya Afande alielamba asali unajitaka, Afu saivi wanavyuo wenyewe mishemishe kibao hawana time na Siasa.
Acha wasome muda bado nchi inakiburi hii hawatoboi.No tulikuwa wakifika wote tunachuchumaa,tunaendelea kuimba na kuwadis,so hawawezi kupiga mtama unechuchumaaBasi madogo waendelee na hizo mishe zaohawajui siasa ndo inaamua hata hiyo mikopo wanayoililia?
Kwani wameshafungua kwa hawa wa vyuo vya kati? Kwasababu kwa vyuo vya elimu ya juu wanafungua tarehe 15 mwezi huu.Samahan wakuu naomba niulize kuhusu hii taarifa ni kwl au ya kuzusha
The Tanzania Commission Universities (TCU) And Higher Education Students Loan Board (HESLB)
TCU And HESLB, Now allow a Certificate And Diploma Students, to get a loan as universities students
QUALIFICATION NEEDED
Applying Students must be
1.Cerificate, Diploma, Advanced Diploma
2.College Must Be Registered By NACTE
3.Fill and follow all steps
LOAN STRUCTURE (Will cover
1.Fee
2. Hostel Accommodation
3.Stationary
4.Pocket Money
Apply now before deadline (31ST August 2023)
Appl NOW HERE
Higher Education Students' Loans Board (HESLB) - Bodi ya Mikopo Tanzania
View Higher Education Students' Loans Board HESLB - Bodi ya Mikopo Tanzania, fomu za Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu i(HESLB), www.heslb.go.tz.tinyurl.com