Mikopo toka stanbic banks

Mikopo toka stanbic banks

Mrekebishaji

Senior Member
Joined
Mar 19, 2009
Posts
168
Reaction score
63
Wana JF naomba msaada wa kupata mtu anayehusika na mikopo(staff loans) toka stanbic bank. ofisini kwetu wanafanyakazi wanahitaji mikopo hiyo. natangauliza shukrani. waweza kunipa taarifa pia kupitia 0719 473879
 
hawa hawatakuja kuwapata ya Barclays kweli? mikopo ndani ya siku 3?????
 
lazima iwe ya stanbic mkuu? kwanini?
 
tumesikia hapo ndo wanatoa kwa viwango vyote vya mishahara. kuhusu comment ya Baclays sijaelewa. je barclays ndo wanatoa kwa siku tatu au stanbic ndo wanatoa kwa siku tatu.
 
loan department wana customer service nzuri sana, wala usihangaike na njia za panya
 
asante kaka, sio kuwa natafuta njia za panya, ni ile tu kupata contact za mtu mmoja kwa moja
 
nenda knye branch yao wanakupamaelezo hawana longo longo mi mwenyewe nilienda mshahara ulipopita tu baada ya siku 4 kitu kikatema.
 
nikikumbuka J3 kuingia humu nitakutumia namba zao maana ninazo ofisini. wametusaidia wafanyakazi wetu zaidi ya 30 kupata mikopo. ukinegotiate vizuri kama mko wengi interest inakua ndogo pia.
 
nikikumbuka J3 kuingia humu nitakutumia namba zao maana ninazo ofisini. wametusaidia wafanyakazi wetu zaidi ya 30 kupata mikopo. ukinegotiate vizuri kama mko wengi interest inakua ndogo pia.

Mbona hujibu PM zetu? Da Asia?
 
Wamepandisha interest kutoka 15% hadi 23% ila wako poa kasoro interest imepanda ghafla mwezi jana
 
Back
Top Bottom