Maisha halisi ya watanzia nadhan unayajua, gharama za kumudu masomo elimu ya juu ni kubwa mno, kiasi kwamba kwa maisha ya mkulima wa jembe la mkono anayetegemea kilimo cha msimu n ngumu sana kuzimdu ,think twicelete hoja utazoweza nishawishi ni badili idea yangu usiwe unapopoma tu
mkuu serikali kukopa si kwamba haina pesa bali ni utaratibu ambao umewekwa kwa lengo la kubebana tu kiuchumi na ndio maana hakuna serikali isiyo na deni....na unaposema familia za masikini hivi unajua kweli maana ya masikini?Kama serikali inakopa kwanini mtu binafsi tena mwanafunzi ambaye ni mtoto wa masikini iwe nongwa??
Acha roho mbaya mkuu acha serikali ikopeshe watoto wa masikini wajikomboe na kukomboa familia zao. Wewe kama uko vizuri kiuchumi wasaidie wanaoomba mikopo walipie ada hizo mkuu ili tukupongeze kwa uzalendo.
Nikijbu swali lako la msingi ni kwamba, baadhi wangesoma na wengine wasingepata elimu ya juu kwa sababu za kimasikini mkuu.mkuu serikali kukopa si kwamba haina pesa bali ni utaratibu ambao umewekwa kwa lengo la kubebana tu kiuchumi na ndio maana hakuna serikali isiyo na deni....na unaposema familia za masikini hivi unakua kweli maana ya masikini?
hii ndio shida ya sisi watanzania kuishi kwa kulinganisha zaidi alafu tanapenda kulinganisha udhaifu tu na si uimara...?
bado narudi kwenye swali langu palepale je kusingekuwa na mikopo toka serikalini vijana wangeshindwa kusoma elimu ya juu kwa kigeza cha fedha?
mkuu nani kakuaminisha kuwa mkulima wa jembe la mkono ni moja ya mfano wa watu ambao hawajiwezi kifedha alafu jiulize huyo mtu analima ili atafute pesa sasa je pesa yake hiyo iko kwa ajili ya matumizi gani?Maisha halisi ya watanzia nadhan unayajua, gharama za kumudu masomo elimu ya juu ni kubwa mno, kiasi kwamba kwa maisha ya mkulima wa jembe la mkono anayetegemea kilimo cha msimu n ngumu sana kuzimdu ,think twice
sawa mkuu ila kumbuka uandikishaji wa watoto wa darasa la kwanza ulipanda si kwamba et watanzania wengi walipenda somesha ila kuna kitisho mkuu wa nchi alikitoa akisema kwamba ole wake aone mtoto yuko mtaani na wakati elimu ya msingi na sekondari ni bure alaf katika maelezo yangu kwenye uzi nimemgusia kijana mwenyewe anapaswa afanye nini ebu soma tena utaona iyo sehemu na ukitaka kuona maajabu ya watanzania sisi angalia takwimu ya uandikishaji wa watoto mwanzo na baada ya mda fulani utakuta idadi ya watoto mashuleni imepungua sasa je wanakwenda wapi wakati elimu ni bure?Nikijbu swali lako la msingi ni kwamba, baadhi wangesoma na wengine wasingepata elimu ya juu kwa sababu za kimasikini mkuu.
Kwa sisi ambao tunaishi vijijini tunabmengi ya kusimulia......mama au baba anaamka asubuhi kwenda kulima kibarua cha 1500 hapo ndio familia ile je huyo mzazi atamudua kulipia mamilioni ya chuo kikuu bila mkopo?
Tanzania na Afrika yote bado tuna safari ndefu kujikwamua kiuchumi na kuweza kumudu gharama za huduma mbalimbali.
Ni hiyo ni elimu tu bado afya, maji, malazi, chakula bora, umeme......mkuu haya mambo yanahitaji mjadala mpana sana. Chukulia mfano Rais alipotangaza elimu bure kwanini uandikishaji wa wanafunzi wa darasa kwanza ulipanda kwa zaidi ya 100%?
Kama serikali inakopa kwanini mtu binafsi tena mwanafunzi ambaye ni mtoto wa masikini iwe nongwa??
Acha roho mbaya mkuu acha serikali ikopeshe watoto wa masikini wajikomboe na kukomboa familia zao. Wewe kama uko vizuri kiuchumi wasaidie wanaoomba mikopo walipie ada hizo mkuu ili tukupongeze kwa uzalendo.
Mkuu ushauri ulioutoa kwa vijana qanaoshindwa kuendelea na masomo hawawezi kuufanyia kazi sababu hiki ni kizazi doti com. Fanya utafiti mdogo tu kwa wale vijana waliomaliza chuo na wengine kufeli kidato cha nne hawana walifanyalo wamekaa kama mazombi tu.sawa mkuu ila kumbuka uandikishaji wa watoto wa darasa la kwanza ulipanda si kwamba et watanzania wengi walipenda somesha ila kuna kitisho mkuu wa nchi alikitoa akisema kwamba ole wake aone mtoto yuko mtaani na wakati elimu ya msingi na sekondari ni bure alaf katika maelezo yangu kwenye uzi nimemgusia kijana mwenyewe anapaswa afanye nini ebu soma tena utaona iyo sehemu na ukitaka kuona maajabu ya watanzania sisi angalia takwimu ya uandikishaji wa watoto mwanzo na baada ya mda fulani utakuta idadi ya watoto mashuleni imepungua sasa je wanakwenda wapi wakati elimu ni bure?
sawa mkuu kama na wewe umeliona hilo ndio maana nimewaambia waache ubishoo na usistaduu waache kuthaminisha elimu zao wafanye kazi ilimradi tu ziwe za halali....na si kwamba et ajira hazipo kwa asilimia mia laasha zipo nyingi tu sema vijana wetu wamekuwa wa kuchagua sana cha kufanyaMkuu ushauri ulioutoa kwa vijana qanaoshindwa kuendelea na masomo hawawezi kuufanyia kazi sababu hiki ni kizazi doti com. Fanya utafiti mdogo tu kwa wale vijana waliomaliza chuo na wengine kufeli kidato cha nne hawana walifanyalo wamekaa kama mazombi tu.
Hawafanyi kazi yoyote ya kujiingizia kipato kisa wana elimu ya chuo kikuu na hawawezi kufanya kazi ngumu. Wanajiita wasomi.
Kweli mkuu siku hizi tunaoenda sana kitonga lakini kuna nyingi ukiondoa huzi ajira za maofisini zilizojaa manyanyaso kuna fursa nyingi sana kama vile uvuvi,kilimo,ufugaji,biashara vijana tujikite huko na serikali itengeneze maizngira wezeshi ya kufanikisha fursa hizo.sawa mkuu kama na wewe umeliona hilo ndio maana nimewaambia waache ubishoo na usistaduu waacha kuthaminisha elimu zao wafanye kazi ilimradi tu ziwe za halali....na si kwamba et ajira hazipo kwa asilimia mia laasha zipo nyingi tu sema vijana wetu wamekuwa wa kuchagua sana cha kufanya
sawa mkuu lakini kiufupi hakuna chuo cha serikali ambacho kinatoa programmes ambazo ada zake kuanzia milion 2 programm yenye ada kubwa serikalini ni medical doctor ambayo ni milion 1.8 sasa na kuna vyuo vya binafsi hapahapa tanzania ambayo programm hiyo ni kuanzia milion 5 hadi 7 sasa je we unataka serikali ifanyaje au ituhurumiaje na wanafanya hivyo ili hata mtoto ambaye mzazi wake hana uwezo mkubwa naye aweze kusoma but people still failungeshauri serkali kupunguza ada ya vyuo na hata mamlaka za ukopeshaji ziwe nje ya serkali ili mkopaji aamue wapi apate mkopo na kwa masharti nafuu.
kuwa nchi zlizoendelea wanajisomesha wafunz nadhani hujafuatilia kwa undani.