Kaaazi kweli kweli. . .
Sasa hiyo ni ndoa au biashara?
i see kuna wanawake wa hivyo
hiyo nyumba si yake na mumewe? Anamkopesha mumewe kwenye matumizi ya nyumba? Mfano anaponunua sukari, mume akirudi anamdai hela ya sukari? Kama ni hivyo huyo mwanamke hajajitambua au hajajua kama yupo kwenye ndoa.
Unless kama mume umemwambiz mkeo akukopeshe kiasi kadhaa utamrudishia, hiyo akikudai umlipe kwa kweli
Hivi ukimkopesha mumu/mke hela inaruhusiwa riba asilimia ngapi ili isiitwe ufisadi?(Nawaza kamisheni ya rada style)
Kwa bahati mbaya au nzuri sijui... wakina mama wengi wako na msimamo wa namna hiyo.. kwamba wao hawahusiki na swala lolote la fedha kwenye familia... mshahara wake ni wake, mapato yake ni yake, akitumia kwenye familia lazima akudai baba. Hata kama wewe ndio ulimpa hiyo hela jana, halafu leo huna ukamwambia aitumie leo kwa matumizi ya nyumbani , atakudai..
Kwani ni lazima kuoa/ kuolewa!!?? kwa nini mjiingize kwenye commitment za kijinga kama unaona ur partner hamuwezi kuwa perfect couple?
Kale kaugonjwa kanawamaliza zaidi wanandowa kuliko tabaka lingine lolote mkuu open ur eyes!!Dada hizi ni changamoto tu..haimaanishi ndo tusioe we ukuioa kuna "utulivu" wa nafsi ati we unataka tuwe viruka njia? Na hapo kuna kale ka ugonjwa Ketu
Kale kaugonjwa kanawamaliza zaidi wanandowa kuliko tabaka lingine lolote mkuu open ur eyes!!
Matola humtaki tena yule 'mwanamke kamili'??!Kwani ni lazima kuoa/ kuolewa!!?? kwa nini mjiingize kwenye commitment za kijinga kama unaona ur partner hamuwezi kuwa perfect couple?
Ni wapi mimi nilipokwambia nahitaji vicheche au ni wapi nimekwambia mimi sijaoa! Think Big.Ni kweli lakini wote wamekufa? Au wanandoa wote wameambukizwa? Its too general unachosema...wewe wataka tuwe vicheche na manung'ayembe? Baki mwenyewe Uko hupati mtu hapa Lol
Mwanamke kamili hawezi kuwa na dosari hizo, go on Our contract still exists na ni matumaini yangu Tutakapokuwa wote Valentines day utanipa feedback ya ukweli.Matola humtaki tena yule 'mwanamke kamili'??!
interest free..ila mara nyingi huwa hawalipani on time deni linalimbikizwa hata 10 yearz no compound interest added