Mikopo nafuu inapatikana

Mikopo nafuu inapatikana

BilToN Aaron

Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
5
Reaction score
1
MIKOPO INAPATIKANA KWA WATUMISHI WA SERIKALINI KUANZIA 60,000/= HADI 10,000,000/=
MALIPO NI MWEZI 1 MPAKA MIEZI 60 RIBA INATEGEMEA KIWANGO CHA PESA UNACHOCGUKUA NA MDA WAUREJESHAJI.
PESA YAKO UTAPATA NDANI YA MASAA 24 HARAKA NA BILA USUMBUFU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0715-066099
💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰
 
Riba ni 48 kwa mwaka
Mabenki yanatoa hadi 16
 
MIKOPO INAPATIKANA KWA WATUMISHI WA SERIKALINI KUANZIA 60,000/= HADI 10,000,000/=
MALIPO NI MWEZI 1 MPAKA MIEZI 60 KWA RIBA YA ASILIMIA 4 TU KWA MWEZI.
PESA UTAPATA NDANI YA MASAA 24 HARAKA NA BILA USUMBUFU.
KWA MAWASILIANO ZAIDI
0715-066099
💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰💰
Riba 4% x 12 Months = 48%,
Yaani ukikopa 10Mil kwa mwaka unalipa Jumla 14,800,000/= (simple interest),
Ikiwa Compounded itaenda zaidi ya hapo
 
4×12=48 yaan riba kwa mwaka asilimia 48 wakati huko NMB, CRDB n.k riba asilimia 17 kwa mwaka.Acheni unyonyaji nyie
 
Mnatoa kwa watumishi wa serikalini tu kwa wafanyabiashara hamtoi
 
Utaratibu upoje wa kuomba tafadhali huo mkopo.

Mikopo inatolewa kwa watumishi wa serikalini kuanzia 60,000 mpaka 10,000,000.
Pesa hiyo unaweza kuilipa ndani ya mwezi 1, 3, 6, 9, 12, 15, 18, 24, 36, 48 Hadi 60 yaani miaka mitano(5) kulingana na uhitaji wako.
Kigezo kikubwa cha kupata mkopo unatakiwa uwe mtumishi wa serikalini, hivyo sisi tutaitaji passport moja ya karibuni, nakala ya kitambulisho Cha kupigia kura au Cha taifa, nakala ya kitambulisho Cha kazi au barua ya mwajiri, nakala ya kadi ya bank, bank statement ya angalau miezi 3 pamoja na salary slip, unapomaliza kujaza form tu kila kitu tunashuhulikia sisi na baada ya masaa 24 toka isainiwa na mwajiri utakua umepokea pesa yako bila Usumbufu,
Unapochukua mkopo wa miezi michache makato yanakua makubwa kidogo lakini riba ndogo, na ukichukua wa miezi mingi riba huongezeka kidogo na makato hupungua.
 
Kwa mfano...
Ikiwa utachukua tsh 100,000 utakatwa tsh 123,767.20 kwa mwezi 1, 42,735.39 kwa miezi 3, 21,167.00 kwa miezi 6, 14,523.56 kwa miezi 9 na utakatwa 12,395.38 tu kwa miezi 12. Inategemea mapendezi yako.
 
Naona mnakula kwa urefu wa kamba zenu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom