Siasa za kibashite hizo....kipindi hichi ambacho kila bank inalia na kuhaha jinsi ya kushusha NPA kutokana na uchumi kuanza kudorora wao wanajifanya kumwaga hela huko wakati iko wazi mikopo kwa sasa bank zinapiga brake kutokana na sera zisizotabirika. Majuzi wametangaza kushusha interest rates bila kuzingatia uchumi ulivokaa...mradi wamfurahishe bwana yule