Mikopo maalum kwa wafanyabiashara

Mikopo maalum kwa wafanyabiashara

mew 123

JF-Expert Member
Joined
May 20, 2024
Posts
307
Reaction score
193
Habari

Naomba nianze kutoa ufafanuzi yakinifu kuhusiana na mada niliyoleta hapo juu.
Ulimwengu wa biashara hujawaji kuwa mwepesi mara nyingi huwa na mapito ya kupanda na kushika hususani hasara inapokuwa kubwa kwenye mzunguko wa biashara yako na hivyo kujikuta ukilazimika kuongezapesa nyingine kwenye biashara yako.

Suala la kukopa pesa huwa haliepukiki kwani pesa huhitajika Kwa sababu mbalimbali kama vile kukuza mtaji, kuongeza ofisi nyingine ya biashara, kufidia gap likilotokana na hasara, kuwalipa wafanyakazi wako, kuongeza vitendea kazi katika biashara yako na sababu zingine nyingi

Baada ya kuiona Hilo kuwa ni changamoto Kwa wafanyabiashara WENGI basi tukaona kuwa ni vyema tuandae mikopo maalum Kwa ajili ya wafanyabiashara wakubwa na wadogo ambayo haitawafunga Kwa kutaka waiyumie Kwa kile ambacho wametaja kuwa sababu ya kuchukua mkopo huo.

Pindi utakapofanya maamuzi ya kuchukua mkopo kuna mambo mbalimbali unayopaswa uyatambue jambo la kwanza

Kiwango Cha kukopa kinaanzia shilingi MILIONI moja Hadi shilingi Milioni 40

Mdhamana wetu mkuu huwa ni kadi ya gari Kwa wafanyabiashara na Kwa watumishi wa umma wanaofanya biashara huwa ni payslip ingawa kiwango Chao Cha kukopa huishia MILIONI 20.

Muda wa mkopo ni kuanzia miezi mitatu Hadi miezi 24 marejesho hufanywa kila mwezi
 
Mbona useme riba yako kwa mwenzi shilling ngapi?
 
Inatokana na kiasi ambacho umechukua lakini pia na muda ambao umechukua mkopo huo mfano ukichukua mkopo Kwa miezi SITA marejesho yatakuwa madogo ukilinganisha na aliyechukua Kwa miezi 24
Wa bongo hamko stight kwenye biashara kwa nini? Sema riba yako sio duration ya mkopo loh.
 
Jamani nawapataje nataka kuongeza mtaji wa kuku nimechoka na laki 3 kila wiki 3, broilers
 
3.5 kila mwezi
Mwogope dalali wa mikopo anayekupa interest rate Kwa mwezi, anachoficha hapo ni rate ya 42% Kwa mwaka. 42/12months= 3.5%. hivyo uhalisia mikopo yao ni 42% Kwa mwaka. Anakupa 3.5% Ili uone riba ni ndogo wakati sivyo ilivyo. Ukienda commercial banks riba sasa hivi zinachezea 18% - 24% Kwa mwaka.

Unachopaswa kuelewa Kwa riba ya hawa jamaa ya 42% utakuwa umelipa mara 2 ya riba ya bank. Niwewe mkopaji kuamua.
 
Hawa jamaa nao wanachukua mkopo bank ili kuja kukukooesha wewe,so lazima riba yao ipae sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom