tibmanzenjj
Member
- Feb 26, 2014
- 18
- 4
Kama tunavoelewa ya kua tarehe 15/9/2016 TCU ilitangaza kushusha viwango vya kuingia chuo kikuu kwa wanafunzi waliomaliza diploma kutoka 3.5 mpaka 3.0 ,na kupewa fursa ya kuomba vyuo ambapo mwisho ni 23 september . Je bodi ya mikopo inaweza kuja kuwafungulia vijana hawa kuweza kuomba mikopo ?ukizingatia wengi wao hawakuomba kwa kuogopea kupoteza pesa zao