Mikopo kwa wanaoendelea

MDOE jr

Member
Nov 21, 2015
28
0
Habari,

Hivi kuna mtu yeyote mwenye taarifa juu ya mikopo kwa wanafunzi wanaoendelea? Na kuna chuo chochote waliopata mkopo?

Mwenye taarifa atujuze wanajamii.
 
Jana yaliletwa majina kadhaa ya continuing tulioomba mkopo tuka sign na kuandika account namba zetu pamoja na registration number zetu, ila hakukua na allocation in percentage wala in amount. Nipo udom college ya informatics
 
da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa
 
da....hyo course yako ni priority?maana sisi ambao coz zetu sio vpaumbele tumeshakata tamaa

Ndio ni priority MUNGU mkubwa
jana usiku yalikuja majina in percentage nimepata 92%. Msikate tamaa MUNGU atawasaidia
 
Et kuna njia nyingine ya kupata mkopo tofauti na loan boad yan ukaeleweka kabsa ukasoma vzur?
 
Back
Top Bottom