Ivi ni kweli katika utoaji wa mikopo chuo, wanafunzi waliosoma PRIVATE form 5 & 6 hawapewi priyority kubwa ukilinganisha na waliosoma government school..?? Nahitaji kulifahamu jambo hili.
in short ulivyoeleza kwenye post yako ndivyo but sio kwamba hawapew ila mkopo kwao ni non priority hv kweli shule za private unalipa 2-3 millions na wa government analipa laki na nusu na bado anamaliza akiwa anadaiwa sasa kinamshinda nin mzaz wako kulipa hiyo 1.5 mil kwa mwaka wa chuo kama aliziweza 3milion bila tabu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.