nickson1987
Senior Member
- Aug 16, 2011
- 191
- 24
Uko serious au unatania? wewe ni nani kwenye hiyo SACOSS? ofisini kwenu mnapatikana kwa appointment tu?!!
Nakushauri uandike upya hili tangazo lako limekaa kisanii sana, weka jina la saccos, ofisi ilipo na mawasiliano ya ofisi.
nipo ndio maana nimeweka namba yangu na Ni afisa mikopo maelezo ya kwanza unaweza ukapata kwa njia mengine tutapanga appointment kama sitakuwa site wateja wangu wote tunakutana ofisi kwa ajili kujiunga na saccoss

jina na anuani ya saccos ni siri mkuu?
hapa ndugu yangu nimeshaona dalili za wizi, atanisamehe kama ni vinginevyo! hizi saccos za kwenye simu hizi, watalia watu sasa hivi!! huyu bwana mwezi july alikuwa anaomba kazi ya udereva kwa Candid Scope leo keshakuwa afisa mikopo wa saccos isiyo na jina!!!!

teh hehehehe, akijibu hapa baaaaasi. kuna muda huwa najiuliza hivi Mungu anajua kuna mji unaitwa DAR ES SALAAM!!?hapa ndugu yangu nimeshaona dalili za wizi, atanisamehe kama ni vinginevyo! hizi saccos za kwenye simu hizi, watalia watu sasa hivi!! huyu bwana mwezi july alikuwa anaomba kazi ya udereva kwa Candid Scope leo keshakuwa afisa mikopo wa saccos isiyo na jina!!!!
teh hehehehe, akijibu hapa baaaaasi. kuna muda huwa najiuliza hivi Mungu anajua kuna mji unaitwa DAR ES SALAAM!!?
nashukuru Sana kwa kauli zenu asanteni Sana mbarikiwe, ila wenye akili wamenielewa, natoa maelezo ya awali kwenye simu na masuala malipo na kujiunga Ni ofisini na hata ukienda ofisini bila loan officer huwezi kupata msaada wowote, ILA kumbuka mtu mjinga uamini kila ambiwalo Bali mwenye akili hufikiri sana.

Mnataka anwani gani zaidi?... ofisini kwetu sinza
...kwa maelekezo zaidi 0714064767.
Tehetehe
Kweli pesa balaa,watu wanakimbiana