Kalemataka
Member
- Aug 19, 2017
- 48
- 10
Thread hii maalumu kwa ajili ya kuuliza maswali kuusu mikopo kwa kozi za diploma 2017/2018. Kama vile jinsi ya kuapply na kozi zinazopewa Mkopo. Weka swali lako utajibiwa na watu wenye ujuzi
Pamoja tunalijenga taifa
Pamoja tunalijenga taifa