victor mbuya
Member
- Aug 5, 2016
- 78
- 32
Nashkur Mkuu kwa msaada
pamoja
Nashkur Mkuu kwa msaada
Hakuna sababu ya kulipa ada kiasi chochote, kama tuliomba mikopo maana yake wazazi wetu hawana uwezo kabisa, sasa kulipa nusu maana yake tunaweza kujilipia...tusubiri hiyo mikopo!anakudanganya uyo mwingine
ukishalipa ada yote huwa haurudishiwi pesa yako ata ukikuta unalipiwa ada,,wataicompesate semester inayofuata kama ulilipa kwa semester,,,so ni bora ulipe ada nusu ungojee uchek majina yakitoka kama unalipiwa na ada then utapiga hesabu zako hapo
Hakuna sababu ya kulipa ada kiasi chochote, kama tuliomba mikopo maana yake wazazi wetu hawana uwezo kabisa, sasa kulipa nusu maana yake tunaweza kujilipia...tusubiri hiyo mikopo!
yah unarudishiwaIv kwa mfano nmelipia Ada yote alaf mkopo kutoka nmepata.
sasa apo chuo kuna uwezekano wa kurudushiwa ela yang nilyolipia
tunaweka kwenye michango mingine mpaka iishe kukiwa na miss chuo unaambiwa umelipiwa,bash unakatwa na ishu yoyote ile unaambiwa umelipa au watakusumbua km mwezi na nusu ndio pesa tunakupaIv kwa mfano nmelipia Ada yote alaf mkopo kutoka nmepata.
sasa apo chuo kuna uwezekano wa kurudushiwa ela yang nilyolipia
Jamni ii ishu ya mikopo kabla ya kuripoti inakuaje?
Wanajua kuwa fees inatoka kwenye bodi ya mikopo, lakini wanajua pia kuna wale ambao wanajilipia. Kama wewe unategemea ada upate kwenye bodi ya mkopo utalipaje bila kujua hata mkopo wenyewe unapewa kiasi gani!sasa kuna vyuo vingine mfano udsm wameandika kua only waliopay fees ndio watakua registered,,hapo vipi
Mmmmmh huo utakua ubabe sasa.tunaweka kwenye michango mingine mpaka iishe kukiwa na miss chuo unaambiwa umelipiwa,bash unakatwa na ishu yoyote ile unaambiwa umelipa au watakusumbua km mwezi na nusu ndio pesa tunakupa
hahahahaaaa sawa man bt ni wasumbufu kwa kweli kwenyehela zako kama kwenu kuna hela unaweza waachia kwa kukata tamaa au ikakatwa michango kibao ukapata roboMmmmmh huo utakua ubabe sasa.
Naweza kugeuka scorpion
sawaWe ukienda chuoni, jisajili tu hapo chuon kwanza, garama za usajili ni ndogo, wakikuuliza ada waambie nasubiria loan watakuelewa tu.
Hiyo ni biashara hawawez wakamtimua mteja kiurahis kimbembe ni kuwa huwez kufanya mtihani wa UE km unadaiwa
Iv kwa mfano nmelipia Ada yote alaf mkopo kutoka nmepata.
sasa apo chuo kuna uwezekano wa kurudushiwa ela yang nilyolipia
Mkuu itabid nikaushe kwanza bod yenyew ndio iteme maana usumbufu sio ishuhahahahaaaa sawa man bt ni wasumbufu kwa kweli kwenyehela zako kama kwenu kuna hela unaweza waachia kwa kukata tamaa au ikakatwa michango kibao ukapata robo
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka eti bash na miss chuo Kama sitaki kwenda uko je?tunaweka kwenye michango mingine mpaka iishe kukiwa na miss chuo unaambiwa umelipiwa,bash unakatwa na ishu yoyote ile unaambiwa umelipa au watakusumbua km mwezi na nusu ndio pesa tunakupa
Kwaiyo apo umemsaidia autoa upupu wako wewe, yani umejiunga jf ili uulize ishu za mikopo? kwani sisi bodi ya mkopo? nenda bodi hapa ni pahala patakatifu bana
sina msaada mimi wewe, unadhani mi nilisomeshwa kusaidia?Kwaiyo apo umemsaidia au
Msanii wa taarabu wewe kama sikoseisina msaada mimi wewe, unadhani mi nilisomeshwa kusaidia?