Mikopo elimu ya juu 2019/2020

Mikopo elimu ya juu 2019/2020

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Bodi ya mikopo imetoa majina awamu ya pili kwa wanufaika na mkopo wa elimu ya juu 2019/2020!

Katika hilo mdogo wangu hajabahatika hadi sasa kwa awamu zote mbili na kila ninapoingia kwenye profile yake inaonekana bado inaendelea kufanyiwa kazi. Kwa ambaye amekwishafanikiwa naomba afanye screen short ya status yake inavyosomeka baada ya kufanikiwa.

Lengo ni kujua huenda kukawa na shida kwenye system ili tuangalie namna ya kupambana na hili swala mapema.
Pamoja na maelezo haya nimeambatisha status yake inavyoonekana.
20191027_152622.jpeg
 
Ngoja waje

Ila hapo navoona wameandika analysis on progress ina maana aendelee kusubiri batch zingine.
 
Back
Top Bottom