Mikopo elimu ya juu 2019/2020 awamu ya pili

pangakali 2

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2019
Posts
239
Reaction score
221
Tarehe 27 Oct 2019, Bodi ya Mikopo imetoa majina awamu ya pili kwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu 2019/2020.

Wakuu, katika hilo mdogo wangu hajabahatika hadi sasa kwa awamu zote mbili na kila ninapoingia kwenye profile yake inaonekana bado inaendelea kufanyiwa kazi.

Kwa ambaye amekwishafanikiwa naomba afanye screen short ya status yake inavyosomeka baada ya kufanikiwa.

Lengo ni kujua huenda kukawa na shida kwenye system ili tuangalie namna ya kupambana na hili swala mapema.

Pamoja na maelezo haya nimeambatisha status yake inavyoonekana.

20191027_152622.jpeg
 
Japo ninawaona watoto wa mama mwenye nyumba wangu wakifurahia kua wamepata mkopo na wote wawil o level mmoja alisoma St Mary na mwingine tusiime zote hizi ni private school
Hajakidhi vigezo
Kama alisoma private olevel dah! Itabidi tu usahau na kama wazaz wake wapo wote. Hapo ndo kabisaaa...atatoka empty
 
Vuta subira yawezekana batch nyingine zikawepo
 
Tarehe 27 Oct 2019, Bodi ya Mikopo imetoa majina awamu ya pili kwa wanufaika wa mkopo wa elimu ya juu 2019/2020.

Wakuu, katika hilo mdogo wangu hajabahatika hadi sasa kwa awamu zote mbili na kila ninapoingia kwenye profile yake inaonekana bado inaendelea kufanyiwa kazi.

Kwa ambaye amekwishafanikiwa naomba afanye screen short ya status yake inavyosomeka baada ya kufanikiwa.

Lengo ni kujua huenda kukawa na shida kwenye system ili tuangalie namna ya kupambana na hili swala mapema.

Pamoja na maelezo haya nimeambatisha status yake inavyoonekana.

View attachment 1246310
Ilinibidi niende Bodi mwenyewe nikapate majibu nashukuru nimeeleweshwa tofauti na nilivyokua blind
 
Majina yenu ya mwisho kwenye ukoo ni masanja au masawe? Tuanzie hapo kwanza
 
Hajakidhi vigezo
Kama alisoma private olevel dah! Itabidi tu usahau na kama wazaz wake wapo wote. Hapo ndo kabisaaa...atatoka empty
Mkuu na wewe unafanya kazi bodi ya mikopo nn? Maana jibu nimepewa linalofanana na hili. Na kibaya zaidi wanaangalia ada current badala ya kuangalia mwaka huo anasoma ilikua sh ngapi? Hio shule kwa miaka hio ilikua Mil 1.2 kwa sasa ni Mil 2.2 ivyo kwenye system imesoma hii ya sasa
 
Back
Top Bottom