Hii riba ni flat rate?- RIBA kwa mwezi ni 2.63%
Nataka Coaster naomba bei na details nyingine hapa au PM.
Nataka kujua nalipa kiasi gani na installment ipoje?
Akituma details zake ntagMko vizur,naomba picha ya mashine ya kusaga
I'll contact you soon 🙏🏿Yes boss! Kuna kila aina ya mashine unayotaka Hadi Tractor
Nikitaka mkopo wa kulipa 6 installments (kwa kila mwaka mara tatu) inakuwaje?Ufafanuzi kidogo. Mfano Coaster yenye thamani ya 45 Million
Utatoa 11,250,000 kama down payment
Marejesho kila mwezi ni 1,990,000
Jumla utakuwa umelipia 57,680,000
Kwa muda wa miezi 24 au Miaka miwiliView attachment 2698924