ngalelefijo
JF-Expert Member
- Jun 26, 2012
- 4,151
- 2,839
Lakini Mimi bado bilabila kule SIPA.au bado kidogo?awamu ya nne hawajataja tarehe rasmi.imekaaje hii wadau??
Awamu ya nne hi walisema leo tarehe 29Lakini Mimi bado bilabila kule SIPA.au bado kidogo?awamu ya nne hawajataja tarehe rasmi.imekaaje hii wadau??
Kijana awamu ya nne tumeshatoa tayar,uko wapi wewLakini Mimi bado bilabila kule SIPA.au bado kidogo?awamu ya nne hawajataja tarehe rasmi.imekaaje hii wadau??
MBONA KWENYE SIPA HAIONESHI KAMA NIMEPATA AU LAAH!! KUWENI WAWAZI TU,NIJUE NIMEPATA AU NIMEKOSA YA NINI KUNIWEKEA TAREHE KAMA MMETOA WEKENI TU. KUWA UMEKOSA AU MZIGO NIUONE,NIJUE NAONGEZA AMA VIPI.Kijana awamu ya nne tumeshatoa tayar,uko wapi wew
Ni wakati ngumu Sana tulionao kwa kweli.hatujui tufanyeje na vyuo vimefunguaMBONA KWENYE SIPA HAIONESHI KAMA NIMEPATA AU LAAH!! KUWENI WAWAZI TU,NIJUE NIMEPATA AU NIMEKOSA YA NINI KUNIWEKEA TAREHE KAMA MMETOA WEKENI TU. KUWA UMEKOSA AU MZIGO NIUONE,NIJUE NAONGEZA AMA VIPI.
ahsante.
Hii ni ya tatu mkuu,Niko makini nafuatilia
FORTH ROUND WAMETOA ILA KWENYE SIPA BADO WANAONESHA MTAREHE TU,labda kama ni kwa waliokosa tu.ila bado sijaona maajabu mm.Hii ni ya tatu mkuu,Niko makini nafuatilia
Angalia tena muda huuFORTH ROUND WAMETOA ILA KWENYE SIPA BADO WANAONESHA MTAREHE TU,labda kama ni kwa waliokosa tu.ila bado sijaona maajabu mm.
EMBU JITOSE KWENYE SIPA YAKO AFU RUDISHA MREJESHO.KAMA VPHii ni ya tatu mkuu,Niko makini nafuatilia
Hiyo sipa ni niniAngalia tena muda huu
Sipa ni niniEMBU JITOSE KWENYE SIPA YAKO AFU RUDISHA MREJESHO.KAMA VP
NI ACCOUNT YAKO ULIYOOMBEA MKOPO. APO VP?Sipa ni nini
Umepata?EMBU JITOSE KWENYE SIPA YAKO AFU RUDISHA MREJESHO.KAMA VP
Sorry kunta.niliomba apo Nyerere memorial nikapata,nilisoma shule zetu za kawaida na ni Binti.naomba ushauri kwa sasa nifanyeje??mana naambiwa dirisha la rufaa tar 6 novUmepata?