Mikono hii iwe ya heri na sio shari

Mikono hii iwe ya heri na sio shari

NAPITA

JF-Expert Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
5,077
Reaction score
2,250
mikono.jpeg
rwanda.jpg
 
 
Last edited by a moderator:
Sio siri iwe ya heri maana kwa mikwara hasa
ya Rwanda na Tz. Duh hivi ni kweli Museveni
kamudu kumaliza hili tatizo ?


Japo Jakaya hakuwa na shida mwanzo ila
huyo"I will hit You"ni alikuwa na matatizo.
 
Mh!
Hiyo ya Obama inaonekana kama wamelazimishwa vile!
 
Hii ya obama na putin si ya kweli
 
Kiatu cha mguu wa kulia cha Baba Mwanaasha kinani...ama buleti prufu???
 
Kiatu cha mguu wa kulia cha Baba Mwanaasha kinani...ama buleti prufu???
Wenzako wnazungumza habari za mikono wewe unazungumza habari za miguu!!!!!!!!!!!! Kaaazi kweeeeli kweli. Unachokiona ni mguu wa sofa ndugu yangu sio kiatu angalia vizuri maana unatafuta dosari tuuuu!!!!!!!!!!!!!!!!!!!.
 
obama alitaka amnong'oneze but putin hakusogeza sikio lake
 
Kagame alikuwa anatikisa jiwe, nadhani hawezi kuendeleza mikwara yake tena maana atawaumiza watu wake. Kwa mkwara wa kutimua wahamiaji haramu tu na kichapo cha M23 huko DRC ni tosha kwa yeye kujifunza jambo. Hata hao wakenya wanao jaribu kumvuta ni kwa lengo la kutengeneza pesa zaidi na yeye na watu wake wataumia zaidi.

Mikono haiwezi kutoa tafsiri sahihi sana juu ya kilichopo moyoni hasa mwa PK.
 
mbona our presidaa anaonekana very excited wakati mwenzake kama kalazimishwa vile!!!!! kichwani Kagame kama anawaza, yani kama kusingekuwa na mashuhuda hapa ningempa huyu snitch ngumi za chembe za kufa mtu!!!! yaani amenimwangia ulaji wangu DRC kwa kujidai kuingiza majeshi yake kwa mgongo wa UN!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom