Mikoko ya vodacom

dropingcoco

Senior Member
Joined
Jun 21, 2008
Posts
124
Reaction score
11
Wadau ningependa kuuliza na pia kujua, hivi haya makampuni ya simu hizi promoshen za magari wanazotoa huwa wanazingatia upatikanaji wa spea? sasa hivi vodacom wana hii promosheni ya mikoko aina ya hyundai, mkorea kwa hapa TZ ana nafasi kweli? sio nije nishinde na mimi naishi huku Namtumbo then likikorokocha niliweke juu ya mawe, sipendi hili linitokee
 
We shinda tu mkuu, ukikosa spea utashinda lingine. Promosheni haiishi ipo kila siku.
 

kwani spare za hyundai hakuna bongo??nakumbuka kampuni moja FK MOTORS walikuwa wana deal na hyundai......
 
ukishinda, halafu ukiwa na wasiwasi, piga bei, then ona ustaarabu mwingine.
 
naona kama dili flani la wenye bishara ya magari!!
 
shindeni tu hiyo mikoko mie hizi proo sitaki hata kuzisikia. zain jivunie wamenifuta imekula kwangu tigo nayo jikoki imekula pande yangu.nasema inatosha sitaki kuzisikia hizi proo zenu. na kwanini ziibuke kipindi hichi tuuu kuelekea general election tuuua?? tutafakari kasi imetoka wapi
 


Usihofu mkuu. Kutakuwa na promotion nyingine ya spea mwakani. Hivyo jitahidi ushinde zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…