Heheheeeee BADILI TABIAila hiyo picha uliyotuwekea, una mpango gani na shingo zetu?
Heheheeeee BADILI TABIA
Network imeigeuza hiyo icha Lol
Hahaaaaahahahahah haiwezekani...
yaani network ni shida kuipata mpaka imegeuza picha?
hahahahah
Mentor mambo mi mith u bana! kumbe ndo maana sikusomi kwenye rada yangu?? lol! wasalimie kigoma, nilikuwa hapo last year, kigoma mjini na kasulu!
We Mentor kwani walioko Dar na Arusha hawako Mikoani?
Yote ni Mikoa au unamaanisha nini?
Kigoma ni mkoa kama ulivyo Dar Mwanza na Arusha
Heheheee
Ukipita Katonga wasalimu wote
Pole kwa hayo! Ukitaka migebuka na dagaa wa kumwaga nenda Kibirinzi !
Kama umefikia lodge , tafuta maeneo ya Mjimwema kule pako juu Netwk haisumbui sana.
Karibuni meatu huku
Jua kali na joto kama kawaida
Erickb52 najua wewe hata hapo mjini hujawahi toka
Karibu huku tule ugali wa mtama
mmmmh jamani meatu mie hata kwa burungutu siji...
nilikuja mara moja tu, mtazamo ambao kichwa changu ulinipa sikutaka hata kurudi...
Shem Judgement inaonyesha unayajua maeneo haya vizuri...nimepata mwenyeji atakua free kesho..op to go uko kesho.
Basi njoo huku Dongobesh!
Kama veve apana gopa dongo kuja ona sisi nalima punga sana!
Karibu bhana punga kusa'stawi tena iko mingi sana!
Kama veve kuja toondoka na chele mingi pelekea toto jumbani ako.
BADILI TABIA..aisee uko kama mimi..kurudi tena kigoma noo..labda mpaka lami ikamilike aisee...mmmmh jamani meatu mie hata kwa burungutu siji...
nilikuja mara moja tu, mtazamo ambao kichwa changu ulinipa sikutaka hata kurudi...