Mikoa ya kusini ipo ndani ya Tanzania? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mikoa ya kusini ipo ndani ya Tanzania?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Marire, Jun 3, 2012.

 1. Marire

  Marire JF-Expert Member

  #1
  Jun 3, 2012
  Joined: May 1, 2012
  Messages: 11,420
  Likes Received: 259
  Trophy Points: 180
  Nimekua naangalia ITV news toka M4C imeenda huko na nimeshuhudia nyumba chache sana za bati na barabara ni vumbi tupu. Nikajiuliza ni sehemu ya Tanzania?
   
 2. majorbuyoya

  majorbuyoya JF-Expert Member

  #2
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 1, 2012
  Messages: 1,815
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  Kwani ni mkoa gani wa Tanzania ambao hakuna barabara za vumbi na nyumba za nyasi?.
   
 3. L

  LIpili Member

  #3
  Jun 3, 2012
  Joined: Apr 14, 2012
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tofauti ya kusini na huko kwenu ni kuwa, kusini kuna vijiji vya ujamaa, ukitoka sehemu moja hadi nyingine unapita kijiji hadi kijiji ndio unafika mji mdogo au wilayani.

  Ndio maana ume notice nyumba chache za bati, ingekuwa m4c inapita vijiji vya huko kwenu kwanza usingeziona hata hizo nyumba, ungeona mbuga na tembO hapa na pale, M4C huko hupitia miji midogo na wilayani.
   
 4. B

  Buto JF-Expert Member

  #4
  Jun 3, 2012
  Joined: Sep 23, 2011
  Messages: 249
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Acha ulimbukeni ndugu,M4C imeenda had vijijini huko kusini na kuna uwezekano ukawa unaona mikutano ya vijijini tu. Je wewe kijijini kwenu nyumba zote za bati? je kuna lami pia?
   
 5. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #5
  Jun 3, 2012
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,323
  Likes Received: 22,136
  Trophy Points: 280
  Huko ndiko Chama Cha Mapinduzi kilikoweka mizizi yake.
   
Loading...