Morogoro inatia aibu. Mie natoka mkoa huo lakini kwa swala la kusinzia ndo tunaongoza. Wanachofanya CCM mikoa yote wanayopata kura nyingi huwa hawapeleki miradi yoyote ya maendeleo. Barabara ya Kidatu - Ifakara - Mahenge mpaka leo hii ni ya vumbi na wakati wa masika ni shughuli pevu. Ukija uchaguzi kura zote kwa CCM. Shame on us!
Hizo ni Best idea not good!!! but hilo jambo unaloliunga mkono ni lipi?Slaa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja kashindwa kuongoza kanisa lenye watu wasiozidi 2000 ataweza kuongoza watanzania wapatao 40M na ushee????????? na hicho ni kiboko cha mungu kumbwaga maana sio muadilifu mtu jitu zima linajinadi hadharani halijaoa linatembea na mwanamke nchi nzima linazini tu na wakati amri ya six linajua kabisa inasemaje nataka hata kutapika nyie wote inaonesha ni wa mfano wake jiangalieni. Elimisheni WaTZ kuhusu ubovu wa SLAAAAAAAAAAA naona:bowl:Bovidae hapo umelonga. Ushauri wako nauunga mkono asilimia 100! Lazima tuwe waelimishaji umma kuhusu wajibu wa serikali itakayoundwa katika kutimiza ahadi zote walizotoa wakati wa kampeni.
Good idea. Bravo.
Nadhani LIndi hawastahili kuwa kwenye hii list - at least tayari wamezindukia CUF (Kilwa? & Lindi Mjini?).
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
Nadhani una matatizo makubwa ya kufikiria na hoja zako ni za mtu asiye na uwezo wa kufikiria bali kupayuka ili naye aonekane kuwa yupoHizo ni Best idea not good!!! but hilo jambo unaloliunga mkono ni lipi?Slaa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja kashindwa kuongoza kanisa lenye watu wasiozidi 2000 ataweza kuongoza watanzania wapatao 40M na ushee????????? na hicho ni kiboko cha mungu kumbwaga maana sio muadilifu mtu jitu zima linajinadi hadharani halijaoa linatembea na mwanamke nchi nzima linazini tu na wakati amri ya six linajua kabisa inasemaje nataka hata kutapika nyie wote inaonesha ni wa mfano wake jiangalieni. Elimisheni WaTZ kuhusu ubovu wa SLAAAAAAAAAAA naona:bowl:
Mkoa wa Kagera nao unahitaji kampeni kali kwani licha ya sifa kuwa watu wamesoma lakini ukweli kuwa watu wengi sana wanaishi maisha ya ufukara wa kutupwa. Waliosoma wengi wamejenga Dar, Arusha, Mwanza na kwingineko na hataki kurudi huko tena. Wale walioko huko wamegeuza siasa kama ushabiki wa Simba na Yanga hivyo hawataki kukubali kufanya maamuzi magumu. Inasikitisha. Kampeni ya kumkomboa Mtanzania kifikra na kumjengea uwezo wa kufikiria kwa nia ya kujikomboa ni muhimu sana. Hivyo kazi kubwa tunayo wale wote ambao tuna mwamko au tunaelewa nini kifanyike.Nadhani LIndi hawastahili kuwa kwenye hii list - at least tayari wamezindukia CUF (Kilwa? & Lindi Mjini?)
Elewa kinachoongelewa pimbi wewe...
Hizo ni Best idea not good!!! but hilo jambo unaloliunga mkono ni lipi?Slaa hawezi kuwa Rais wa Tanzania hata siku moja kashindwa kuongoza kanisa lenye watu wasiozidi 2000 ataweza kuongoza watanzania wapatao 40M na ushee????????? na hicho ni kiboko cha mungu kumbwaga maana sio muadilifu mtu jitu zima linajinadi hadharani halijaoa linatembea na mwanamke nchi nzima linazini tu na wakati amri ya six linajua kabisa inasemaje nataka hata kutapika nyie wote inaonesha ni wa mfano wake jiangalieni. Elimisheni WaTZ kuhusu ubovu wa SLAAAAAAAAAAA naona:bowl:
Nadhani una matatizo makubwa ya kufikiria na hoja zako ni za mtu asiye na uwezo wa kufikiria bali kupayuka ili naye aonekane kuwa yupo
Ndugu wanajamiiforums nina maoni yafuatayo kuhusu uchaguzi wa 2015:
1) CCM wamechakachua matokeo ktk majimbo ambayo CHADEMA ilishinda km TARIME, KIBAHA, S'WANGA, SEGEREA, K'MBONI, SHY nk. Sasa CHADEMA waende mahakamani.
2) Kuna mikoa inahitaji OPERATION ZINDUKA. Hii ni mikoa ambayo wananchi wake wako nyuma kimaendeleo km vile Morogoro, Singida, Tabora, Ruvuma, Mtwara, Lindi na Kibaha
3) Wananchi wajitokeze kuichangia CHADEMA kwa HALI na MALI.
CHADEMA ni MKOMBOZI WA WANANCHI na TANZANIA
Nadhani LIndi hawastahili kuwa kwenye hii list - at least tayari wamezindukia CUF (Kilwa? & Lindi Mjini?)
akili zako sio nzuri wew sisi sio wanakidumu chama cha wachakachua mikatabaNi mara nyingi sana najifunza matusi kutoka Chadema ni dalili kuwa sio wavumilivu acha mtu atoe maoni yake sio kutukana bila sababu haya wewe utaenda kuelimisha nani na domo lako limejaa uova wa maneno ya fedhuli yawezekana kuwa CHAADEMA NDIO SERA YENU? YAANI CHAMA CHA DEMOKRASIA YA MATUSI?
Sio wavivu walipata kiboko cha "MWALIMU" akawaulia viwanda vyao na kupora mashamba eti UJAMAA hapo ndipo palipozaa fitina hiyo TANGA WANAWEZA.wakiamua TU.mijitu ya tanga mivivu ndo mana inasifika kwa kilimo cha bustani na vijimatunda tu. ndo mana ccm inashinda hadi wagosi wa kaya waliimba jinsi hali mbaya ilivyo tanga lakin bado tu mnaikumbatia ccm shaur yenu.
sis huku aruha mjini tumekamua mbaya.
Inasikitisha sana. Nani alikuambia kuwa Dr. Slaa hakufika huko. Je wewe unakubali watu wa Lusu waporwe vitalu vyao vya madini bila fidia ili mradi CCM wabakie madarakani? Ama kweli Abunuwasi alisema Wajinga ndio waliwao.Maendeleo unaytafasiri vipi kwani NYIE si ndio mnayoifanya nchi iwe hivyo au mpaka watu waseme, Sio wapinzani wote watakua chadema kule wanamtaka mchumi mahiri Duniani Mhe. Prof Lipumba aliyesoma. Ok chadema janja yenu iko wazi itajulikana tu ngoja hili lipite. maana ubaguzi mnaoufanya hatutaki hata mje kwetu TABORA bora tubaki CCM, usifikiri Slaa amekosea kutokufika huko kwenye kampeni ana ajenda yake muulize akwambie kwanini huko hakuenda
ahsante kwa kunizindua kumbe jf ni chadema tupu? Ndio maana kila aandikaye humu kidogo maadili yalimpitia kushoto uvumilivu fanya assessment lakini itabidi kila mtu aje na kadi ya chama ili kuepuka mapandikizi na ili mtukanane wenyewe au sio?rubish! Halafu nyie members wapya mliopandikizwa jf na ccm october mna matatizo sana, jimbo la karatu aliloongoza kwa miaka 15 lina watu wangapi? Idiot, kwa taarifa yako kichwa cha slaa ni mashine mara 100 ya huyo mkwere wenu. Na mziki ndio umeanza tu, wambwiga wote kama nyie na vibaraka wote wa ccm mkafie mbali kabisa. Na sasa napendekeza baada ya uchaguzi huu tufanye members assessment humu isije ikawa malaria sugu ana multiple ids!
Yaani nikiangalia jina lako najisikia ku**pika aaagh!
Inasikitisha sana. Nani alikuambia kuwa Dr. Slaa hakufika huko. Je wewe unakubali watu wa Lusu waporwe vitalu vyao vya madini bila fidia ili mradi CCM wabakie madarakani? Ama kweli Abunuwasi alisema Wajinga ndio waliwao.