Manyara itoe maana ni agemate na mishangazi ya humu.
GenZee ni Geita, Njombe, Simiyu, Songwe na Katavi.
Kwa utajiri ama uchumi kuna Geita, Njombe, Songwe.
Hata kibiashara na uwekezaji wako njema.
Kilimo ni Katavi, Njombe, Geita na Songwe.
Ufugaji wa fisi ni Simiyu. kwa upande wa viwanda simiyu wanaweza fika mbali kama wataenda na kasi ya sasa.