Dunia ina mambo sana kuna maeneo ndani ya nchi hii,hawajali choo 100%
Unakuta nyumba nzuri ila choo kina mlango wa gunia,juu hakujazibwa,ndani kuna tope na unyevu unyevu.
Kuna baadhi ya maeneo nyumba haina choo kabisa na familia haina wasiwasi maisha yanaendelea ,angalia hii mikoa
1.mtwara
2.Lindi
3.dar
4.tanga
5.pwani
6.kigoma
7.kagera/bukoba
8.mara/tarime
9.simiyu
Katika mikoa hii kuna familia nyingi wanatumia choo cha shimo (cha kulenga)ni hatari kwa usalama.
Nitarudi.....
Sent using
Jamii Forums mobile app