Mikoa inayoongoza kutojali mazingira ya choo

Mikoa inayoongoza kutojali mazingira ya choo

Watu wengi wanomiliki Nyumba wamezaliwa nyuma ya mwaka 1979..
Hawa ni watu kouasilia wamekulia kwenye maisha ya kutokujali choo..Ukiona familia ina nyumba na choo bora basi hapo wazazi ni waungwana toka moyoni na wanauwezo mkubwa wa fikra..Mikoa yote inachekesha na kujiabisha..Mwenyezi hii mada angebadili na kuandika kuhusu watu kuacha kujenga vyoo vya kustaajabisha..
 
Mkuu unatoa risiti?
Chunga TRA ziwe za EFD. 😀
Hayo ndio matatizo ya kupata mimba za utotoni, yani kila mume unataka awe wako tafadhari wengine tushaoa tayari. Hivi unaweza nionyesha wapi nilipo Andika hicho unacho kisema?
 
Hujafanya utafiti wewe. Mikoa ya Usukumani siiioni hapo yaani Shinyanga, Geita, Simiyu ni nambari wani kukosa Vyooo. Huko Dar, Pwani umewaonea sana Mkuuu.
Huko shinyanga vijijini kuna kijiji mgombea ukiwaambia wanakijiji kuwa una sera ya kuhimiza kujenga vyoo hutopata hata kura 1. Wanaamini kinyesi kinapaswa kikae porini na huwezi poteza pesa na muda sbb ya uchafu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huko kanda ya ziwa, hawatumii choo moja, na wakwe, mkwe akienda chooni inabdi wewe uende chaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ununio na Osterbay hakuna vyoo

Umefika kwenye Beach za huko au unaangalia majengo na nyumba za watu

Tatizo hujaishi hayo maeneo tunaoishi tunafahamu changamoto zake hasa mtu mgeni akiwa mpita njia akipata dharula nani atampokea

Hakuna public toilets labda ukimbilie msikitini, ukikamatwa ni viboko na kuitwa kafiri
 
Ununio na Osterbay hakuna vyoo

Umefika kwenye Beach za huko au unaangalia majengo na nyumba za watu

Tatizo hujaishi hayo maeneo tunaoishi tunafahamu changamoto zake hasa mtu mgeni akiwa mpita njia akipata dharula nani atampokea

Hakuna public toilets labda ukimbilie msikitini, ukikamatwa ni viboko na kuitwa kafiri
Hahaha kumbe ukinya msikitini Ni noma? Hahaha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama ruvuma haipo kwenye risti yako basi tafiti yako ni uongo.

Kuna wale wanainchi wanaokaa pembeni ya bahari na au maziwa/mito hawa ni vigumu sana kuchimba choo na kukitumia na ni jadi yao kufuata hayo maji na kujisaidia humo na ndio maana magonjwa ya matumbo hayaishi kwao eg Kigoma kuna wilaya ikiwa na wagonjwa 8 wa Cholera basi DMO hutangaza kuwa kipindupindu kimeisha
 
Unamiliki smartphone ya shs laki tatu na unaishi mjini,kwenu hamna choo ni aibu
 
Back
Top Bottom