Mikoa inayohusudu wahindi kuwa Wabunge

Status
Not open for further replies.

Sir R

JF-Expert Member
Oct 23, 2009
2,175
298
Wananchi katika mikoa ya Singida, Morogoro na Tabora wanahusudu kuwachagua wabunge wenye asili ya Asia.

Sielewi sababu nini ya wahindi kuchaguliwa katika mikoa hii.

Naomba tujadili swala hili.
 
Wananchi katika mikoa ya Singida, Morogoro na Tabora wanahusudu kuwachagua wabunge wenye asili ya Asia.

Sielewi sababu nini ya wahindi kuchaguliwa katika mikoa hii.

Naomba tujadili swala hili.

Halafu Waarabu
Baadae Wasomali
Baadae Wachaga
Baadae wafupi
Baadae..............?
Ukabila bwana !!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Wananchi katika mikoa ya Singida, Morogoro na Tabora wanahusudu kuwachagua wabunge wenye asili ya Asia.

Sielewi sababu nini ya wahindi kuchaguliwa katika mikoa hii.

Naomba tujadili swala hili.

Ni mikoa ipi inayohusudu wenye asili ya Afrika?
 
Wananchi katika mikoa ya Singida, Morogoro na Tabora wanahusudu kuwachagua wabunge wenye asili ya Asia.

Sielewi sababu nini ya wahindi kuchaguliwa katika mikoa hii.

Naomba tujadili swala hili.
Please stop your narrow minded thinking... as long as they were born in Tanzania they can be what they wanted and anywhere -- We are a country believing in human dignity, no race discrimination we are all Tanzanians

Kama wewe hutaki u better leave our country peaceful and go somewhere else where they embrace your foolishness!!!!
 
Mkuu, acha hizo. Kama ni watanzania wana haki sawa na mtanzania mwingine yeyote kuchaguliwa. Usitake kuhusisha uhindi na ufisadi, fisadi anaweza kuwa mtu yeyote, hata ngozi nyeusi mafisadi wapo.
Tuleteni hoja zinazojenga badala ya kuielekeza nchi yetu kwenye racism.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom