Mike Tyson afungua Weed Empire! Bangi inalipa

Elli

Platinum Member
Mar 17, 2008
55,486
86,001
Hongera Sana Mkuu Tyson, Bangi Sio mbaya kama wengi wanavyodhani. Mvuta Bangi mzuri ana Busara, hekima na hufanya maamuzi Sahihi. Bangi ni dawa na inatambulika na WHO, Mimi ni Nani niikatae?
IMG-20190704-WA0060.jpeg
IMG-20190704-WA0059.jpeg
IMG-20190704-WA0058.jpeg
IMG-20190704-WA0057.jpeg
IMG-20190704-WA0055.jpeg
IMG-20190704-WA0056.jpeg
 
tanzania i kilegalize kwa mara ya kwanza nitajiunga na kilimo,,,,,
Legalize,Regulate..................
 
Bangi inalipa kweli sio masihara, mtafute pusher atakwambia!
Ni kitambo kidogo kama sikosei mwanangu aliniambia bangi mzigo wa buku 5 akikata na kuuza anaweza kuuza mpaka kete za elfu 30.
Naijua vyema Sana Sana ndugu
 
Weed ni nzuri ila inahitaji vichwa vilivyo sawa.Niliwahi vuta nikajikuta nahamisha maji ya kuflash chooni kupeleka ndani kama maji ya kunywa.

Kitu kingine ambacho lilikuwa kinaniboa wakati nilipokuwa sijaikacha. pindi nikivuta ilikuwa ni lazima nijulikane tu nimevuta hata kwa mtu asiye mzoefu wa bangi.Jicho lilikuwa linalegea hatari then nakuwa kapole kama nimemwagiwa maji.
 
Tatizo ni ahadi za kipuuzi za CCM! Mnaweza kulima Bangi weeee mwisho wa siku Jiwe akatae isiuzwe nje Kama issue ya korosho
akikataa tunamvutia halafu aone huo mziki wake,,,,,,,
 
Back
Top Bottom