Mike Pompeo Quote

Boniphace Kichonge

JF-Expert Member
Jul 31, 2017
1,606
2,000
Tehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.

— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
 
ze-dudu

JF-Expert Member
Jul 26, 2014
13,854

Kelele tu izi...huyu kakalisha matako marekani anatoa ripoti ya uarabuni utadhani panamuhusu sasa
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
41,382
2,000
Iran inaenda kupigwa muda si mrefu kama baadhi ya waarabu wenzake wameungana na wazungu kumpiga ndugu Yao sidhani kama itachukua miaka

Unaweza ukawa sahihi ila tambua kuwa Kuipiga au Kuivamia Iran kunahitaji Umakini wa hali ya juu na Tahadhari zote zichukuliwe kwani kumbuka hata hapo Iran pia kuna Damu ya Kiyahudi iliachwa ( japo wana mrengo wa Kiislamu zaidi ) na wamefanya makubwa katika Idara zao za Kijasusi na hadi Jeshini bila kusahau katika Matumizi ya Teknolojia hivyo usije ukashangaa kuwa anavamiwa kweli na hawa Wababe ila nakuhakikishia hata kama wakimshinda ( wakimpiga ) ila na Yeye ( Iran ) ataacha ' Madhara ' makubwa mno Kwao hasa ya Kiuchumi na Uhai na watakuja ' Kujuta ' mbele ya safari. Kumpiga Iran siyo rahisi kama ilivyokuwa kwa Iraq. Iran tokea Iraq ilivyovamiwa na Marekani pamoja na Washirika wake ilijua kuwa wanaofuata ni Wao hivyo na Wao wakaanza Kujiimarisha Kiujasusi, Kiteknolojia na Kijeshi hasa kwa Kutengeneza Silaha Kubwa, Hatari na Nzito hasa kwa Kupewa Misaada ya Rafiki zao Wakubwa Urusi na hakuna asiyejua kuwa kama kuna Nchi inayoogopwa mno na Marekani kwa sasa ni Urusi kisha inayofuatia ni DPRK ( Korea ya Kaskazini )
 
pureView Zeiss

JF-Expert Member
Sep 5, 2016
5,124

TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.

Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
 
green rajab

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
2,762
2,000
Tehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.

— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
Alisikika Mbwa Koko mmoja akimbwekea Mwanaume wa shoka Iran
 
GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Jul 13, 2013
41,382
2,000
TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.

Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe

Ndugu mbona unaonekana una Chuki sana na Waarabu? Je Wewe ni Mkristo mwenzangu au? Kuna dalili ya Ujengaji wako Hoja wa Kidini nauona hapa.
 
Auz

JF-Expert Member
Apr 6, 2016
8,965
2,000
Tehran is behind nearly 100 attacks on Saudi Arabia while Rouhani and Zarif pretend to engage in diplomacy. Amid all the calls for de-escalation, Iran has now launched an unprecedented attack on the world’s energy supply. There is no evidence the attacks came from Yemen.

— Secretary Pompeo (@SecPompeo) September 14, 2019
War monger
 
victory02

JF-Expert Member
Nov 18, 2015
1,024
2,000
TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.

Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
Huwezi amini mmarekani na wanaoitwa washirika wake wametangulizwa mbele tu kwenye huu mgogoro. Israel yuko nyuma ya hawa watu na anatamani Iran ifutwe kwenye uso wa dunia. Mossad wameshauwa sana wanasayansi wa Iran kudhoofisha hatua wanazopiga kiteknoloji ila wameshindwa.
 
mathsjery

JF-Expert Member
Sep 26, 2015
1,789
2,000
TATIZO kubwa ambalo naliona ni jinsi Saud Arabia alivyokuwa karibu na mmarekani kuliko ndugu zake(ingawa nimekosolewa na wadau wanasema Iran sio waarabu).
Pia tukumbuke kuwa hawa wazungu sio wajinga wa kuingia kichwakichwa kupigana vita ndiyo maana wamemwekea vikwazo vya uchumi tena vikali ili kumzoofisha kwanza.

Hawa waarabu ni wanafiki Tu sikuzote sitashangaa kuona nchi jirani zikitoa ardhi ili ndugu Yao apigwe
Ni. Waajemi(persians)sio waarabu
 
Nanye Go

JF-Expert Member
Oct 29, 2018
7,741
2,000
Unaweza ukawa sahihi ila tambua kuwa Kuipiga au Kuivamia Iran kunahitaji Umakini wa hali ya juu na Tahadhari zote zichukuliwe kwani kumbuka hata hapo Iran pia kuna Damu ya Kiyahudi iliachwa ( japo wana mrengo wa Kiislamu zaidi ) na wamefanya makubwa katika Idara zao za Kijasusi na hadi Jeshini bila kusahau katika Matumizi ya Teknolojia hivyo usije ukashangaa kuwa anavamiwa kweli na hawa Wababe ila nakuhakikishia hata kama wakimshinda ( wakimpiga ) ila na Yeye ( Iran ) ataacha ' Madhara ' makubwa mno Kwao hasa ya Kiuchumi na Uhai na watakuja ' Kujuta ' mbele ya safari. Kumpiga Iran siyo rahisi kama ilivyokuwa kwa Iraq. Iran tokea Iraq ilivyovamiwa na Marekani pamoja na Washirika wake ilijua kuwa wanaofuata ni Wao hivyo na Wao wakaanza Kujiimarisha Kiujasusi, Kiteknolojia na Kijeshi hasa kwa Kutengeneza Silaha Kubwa, Hatari na Nzito hasa kwa Kupewa Misaada ya Rafiki zao Wakubwa Urusi na hakuna asiyejua kuwa kama kuna Nchi inayoogopwa mno na Marekani kwa sasa ni Urusi kisha inayofuatia ni DPRK ( Korea ya Kaskazini )
Gentamicin leo umekuwa war expart au intelligent expert war eneo la asia na middle east?!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom