#COVID19 Mike Pompeo: Kuna Ushahidi wa kutosha kuwa Corona imetokea maabara iliyopo Wuhan

beth

JF-Expert Member
Aug 19, 2012
3,877
6,326
Waziri wa Mambo ya Nje wa Marekani, Mike Pompeo amedai kuwa kuna ushahidi wa kutosha kuwa CoronaVirus imetokea maabara iliyopo Wuhan nchini China

Akizungumza na Kituo cha ABC, Waziri huyo amesema Wataalamu wanaamini kuwa Corona imetengenezwa hivyo hana sababu ya kuamini vinginevyo. Hata hivyo, hakutoa ushahidi wowote wa kudhibitisha madai hayo

Alipoulizwa kama anafikiri Virusi vya Corona vilisambazwa makusudi au kama ilitokea bahati mbaya kwenye maabara, Pompeo alisema hawezi kujibu swali hilo kwasababu China imekataa kutoa ushirikiano kwa wataalamu wa afya

======

1588569472186.png

Secretary of State Mike Pompeo said there are "enormous" signs that the novel coronavirus outbreak originated a biomedical laboratory in Wuhan, China -- the city where cases first exploded.

"I can tell you that there is a significant amount of evidence that this came from that laboratory in Wuhan," Pompeo said on ABC’s "This Week" Sunday.

"Do you think they intentionally released that virus, or it was an accident in the lab?" Co-Anchor Martha Raddatz pressed."I can't answer your question about that," he said, "because the Chinese Communist Party has refused to cooperate with world health experts."

The White House last week ordered U.S. intelligence agencies to look into whether China concealed information early on about the novel coronavirus, two administration officials told ABC News last week.

Pompeo on Sunday agreed the virus was not manmade.

A recent press release from the Office of the Director of National Intelligence (ODNI) that said, "The Intelligence Community also concurs with the wide scientific consensus that the COVID-19 virus was not manmade or genetically modified."

Pompeo said that he has "no reason to disbelieve" the intelligence community, adding, "I've seen their analysis. I've seen the summary that you saw that was released publicly. I have no reason to doubt that that is accurate."

The ODNI statement said the intelligence community was investigating whether the outbreak was the result of a lab accident.

The announcement that the ODNI is investigating a possible lab accident as the source of the pandemic is a boost for the unproven theory that President Donald Trump, Pompeo and many senior U.S. officials have pushed for weeks now, even as epidemiological experts say its likelihood is rare.

Several public health and epidemiological experts have told ABC News it is "vastly more likely" that the first infection -- what's called "zoonotic spillover" -- occurred in the wild, given the "huge barriers between people and viruses in the laboratory setting," according to Dr. Christine Johnson, director of the U.S. Agency for International Development's Predict project and a professor at UC Davis School of Veterinary Medicine.

Pompeo has been central to the administration’s pushback against the Chinese government for weeks, earning him vitriol from Chinese state media, which called him an "enemy of mankind" last week.

"China behaved like authoritarian regimes do, attempted to conceal and hide and confuse," Pompeo said.

Xinhua, China's state-run news, reported late Saturday that there are neither rational nor legal grounds for U.S. politicians' accusations regarding China's response, "it is only an absurd claim featuring typical U.S. bullying."

"Like the rest of the world, China is a victim of the pandemic, not an accomplice with the virus," the report said.

China said they have done what "should be and needs to be done" in the face of a pandemic.

A report from the Department of Homeland Security claims that "the Chinese government intentionally concealed the severity of COVID-19 from the international community in early January while it stockpiled medical supplies by both increasing imports and decreasing exports."

"China likely cut its exports of medical supplies prior to its January WHO notification that COVID-19 is a contagion," according to the report, which was shared with law enforcement and government agencies on Friday.

Source: ABC News
 
Kama mada inavyosema hapo juu

Mike Pompeo alisema Jumapili kuna "ushahidi mkubwa" kwamba janga la korona limetokea katika maabara huko Wuhan, Uchina, sio soko la karibu, lakini alikataa kusema ikiwa Amerika inaamini virusi hivyo vilitolewa kwa kukusudia.

Wakuu wa ujasusi wa Amerika walisema wiki iliyopita kwamba inachunguza ikiwa mlipuko wa kwanza wa COVID-19 ulitokana na kufichuliwa kwa wanyama wa porini au ajali ya maabara katika Taasisi ya Wolojia ya Wuhan.

"Kumbuka, Uchina ina historia ya kuambukiza ulimwengu, na wana historia ya kufanya maabara za chini ya ardhi," Pompeo alisema kwenye "Wiki hii ya ABC" "Hii sio mara ya kwanza kwa kuwa tumekuwa na ulimwengu wa virusi kutokana na kutofaulu kwa maabara ya Wachina."

Mwanadiplomasia wa juu wa Amerika alisema kuna "kiwango cha juu cha kujiamini" kwamba virusi vinatoka kwa maabara ya Wuhan, ambayo ilikuwa ikisoma uwepo wa virusi katika popo.

Source: ABC & VoA
 
Hakuna kitu kibaya kama kuwaamini wamarekani moja kwa moja.
Wachina nao wanadai wataalam wa maabara wa merkani waliambatana na wanajeshi wao kwenye michezo ya kijeshi iliyofanyika huko Wuhan na walipo ondoka tu ndipo tatizo lilipoanza.
Lakini wachina wenyewe ni mabingwa wa kudanganya pia, mfano juzi tu hapa wameongeza idadi ya waliofariki kwa Corona,
Hata hivyo hawa wote ni wababe tu labda kila mmoja anajitahidi kwa namna yake kumyumbisha mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lakini wachina wenyewe ni mabingwa wa kudanganya pia, mfano juzi tu hapa wameongeza idadi ya waliofariki kwa Corona,
Hata hivyo hawa wote ni wababe tu labda kila mmoja anajitahidi kwa namna yake kumyumbisha mwenzake.

Sent using Jamii Forums mobile app
Nilichosema mimi ni kuwa tusiwaamini wamarekani moja kwa moja.
Tukirudi nyuma tuzungumzie Ukimwi ambao hadi leo hauna dawa. Wataalam wengi duniani wanaamini kuwa vile ni virusi vya kutengeneza na kama ni hivyo basi wakubwa hawa wanahusika moja kwa moja kwani walishirikiana sana na makaburu.
Miaka ya nyuma niliona clip fulani ambayo wataalam wa afya wa kireno na makaburu[wakati wa vita vya ukombozi] wakidai kuwa kulikuwa na mbinu maalum ya kuhakikisha ukimwi unatumailiza waafrika. Mbinu yao kuubwa ilikuwa ni watoto na kina mama wajawazito na wao wakihusika.Sijawahi kusikia chombo chochote cha kimataifa kikisema chochote kuhusu hilo.
 
We cheat
We lie


Alisikika jamaa mmoja akielezea mbinu walizokua wakitumia CIA wakati yeye akiwa kama MKUU washirika hilo Sasa hivi mtu kama huyu tutamuamini vipi tena yakwamba hawatumii tena njia zakudanganya kama walizokua wanazitumia wakati yeye akiwa Kiongozi MKUU wa CIA


Magaidi wa US wala sio wakuwaamini hata kidogo kwanza wauaji wakubwa hawa wapuuzi.....

Sent using My COVID-19
 
Tunajua kuwa Marekani ina vita ya kibiashara na China, ni sawa na kusema Sadam alikua na silaha za sumu au kiduku amefariki + chloroquine inatibu corona nk, bado ni mapema sana now

Sent using Jamii Forums mobile app
Usichukulie hiyo kama advantage ya kukataa taarifa hizi ambazo huenda zikaww ni kweli kwamba Uchina ni source ya Outbreak ya hili tatizo
 
Back
Top Bottom