Kwa wale wlio wahi kukesha au kuchelewa kulala tupeana mastory.
Kuna siku nilienda Moro aisee nikakutana school mate ile mastory na kuhama vijiwe nikajikuta saa 11 asubuhi hii hapa nililala kwenye bus nastuka nipo ubungo

Nakumbuka nlishawahi piga ukitwanga hadi saa 10 na asubh nlikuwa na pepa..... Aisee nlikosa pepa kufanya nikapata tabu sana kumuelimisha lecturer anipe pepa special