Mikao mbali mbali ya kupiga picha

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,261
Kuna baadhi yetu huishiwa pozi au mikao ukiwa mbele ya kamera.

Check cheki hapa ongeza mikao mbali mbali wakati wa kupiga picha

Hapa kuna mikao
Wanaume, Wanawake, mtu na mpenzi wake au group.

Kama unayako mingine mizuri tupia
 
Ya sasa hivi lazima makalio yaonekane sura si lazima ngoja waje itajionea.
 
Mkao ni jambo moja ila picha kutoka vizuri inahitaji vitu vingi sana mkuu, aina ya nguo, kuna wengine tuna uadui na kamera, hata upige picha vipi haitokelezei!!!!
 
Mkao ni jambo moja ila picha kutoka vizuri inahitaji vitu vingi sana mkuu, aina ya nguo, kuna wengine tuna uadui na kamera, hata upige picha vipi haitokelezei!!!!
Hahahah leo nmezungumzia mikao.
Ila nitakuja na namna ya kukufany utokelezeee
 
Hahahah leo nmezungumzia mikao.
Ila nitakuja na namna ya kukufany utokelezeee

Nasubiria mkubwa, ila itabidi ufanye kazi ya ziada, ila kama tekniki yako inatumia softiwea kama vile adobe, kazi itakua rahisi!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…