Mikakati za Kim Jong II dh idi ya Marekani..!!!

Mikakati za Kim Jong II dh idi ya Marekani..!!!

fyddell

JF-Expert Member
Joined
Dec 19, 2011
Posts
12,873
Reaction score
24,476
Habari zenu wanaukumbi. Ningependa kuuliza kua zile kelele zote na miitary maneuvers ya N. Korea dhidi ya marekani imeishia wapi maana sisikii lolote linaloendelea upande ule wa Peninsula ya Korea. Kwa jinsi yule Kim alivyokuwa akitamba hakika nilijua vita hataepukika, nini haswa kimetkokea?
Tujuzane wakuu
 
Aliwekewa red line ambayo hakuruka..! Aliambiwa akiirusha kombora hata moja Seoul, Pyongyang inageuzwa tambarare within no time..!
 
Aliwekewa red line ambayo hakuruka..! Aliambiwa akiirusha kombora hata moja Seoul, Pyongyang inageuzwa tambarare within no time..!

Duh, aliambiwa na marekani au Umoja wa mataifa?
 
Hii ishu bado haijakuwa sorted out, kwenye hiyo penusula ya korea bado kuna tatizo....
 
Marekani ni zaidi ya umoja wa mataifa

Kumbe ndo hali ilivyokuwa. Basi heshima kwa Marekani na sijui wale waliokuwa wakimshabikia yule fat boy wamekimbia wapi na maneno yao ya kum beba beba haha
 
Back
Top Bottom