hutoamini
Can't believe it! Can they be so good in political strategy and psychology?ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo yako shwari ktk umoja huo,kinachofanyika ni mkakati was kisiasa (political strategy)ktk kujiimarisha ambapo hucheza na saikolojia kama ifuatavo tukiegemea zaidi CHADEMA,
1.Slaa,lisu na mnyika na wengineo kutokuwepo ktk utambulisho ili kuvuta attention ya watu ambapo yatasemwa mengi kupitia medias na maoni ya watu binafsi na social medias hivo uenezi wa umoja huo kiaina ambapo hili limefanikiwa.
2.Tundu lisu kujitokeza akikanusha habari za kutokukubaliana na ujio wa Lowassa na kusisitiza maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama na umoja huo ambapo limefanyika.
3. viongozi,wabunge na wanachama kujitokeza kumpokea Lowassa katika kurudisha fomu za uraisi ambapo tumeshuhudia kina Mabere marando,professor safari na wengine wakimpokea Lowassa ambapo limefanyika juzi vizuri.
4. ukimya wa Docta Slaa kuendelea ili kuutangaza umoja huo na mgombea kupitia wale wanaotamani ajiondoe chamani wakijivika mwavuli wa wanamapinduzi halisi dhidi ya wale wasimamiao msimamo wa umoja na maamuzi ya vyama ambapo linafanyika sasa hivi.
5. Docta Slaa kujitokeza hadharani na kutegua kitendawili cha sintofahau iliyodumu kwa muda kwa kuvunja ukimya akionyesha msimamo wake na kusapoti maamuzi yaliyofikiwa juu ya Lowassa ambapo litafanyika rasmi siku ya utambulisho rasmi wa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA na ufunguzi rasmi wa kampeni nchi nzima ambapo mwendo utakua mchakamchaka mpaka uchaguzi.
SIASA NI MIPANGO,MIKAKATi NA SAIKOLOJIA.
ikiwa ni muda sasa tangu lowassa alikaribiswa, akapokelewa,akatambulishwa,akuchukua fomu za kugombea uraisi na hatimaye kurudisha na kupokelewa makao makuu ya CHADEMA huku kukiwa na sintofahamu kwa pande mbili zinazokinzana yani wanaomkubali Lowassa na wasiomkubali,taarifa za siri zinasema mambo yako shwari ktk umoja huo,kinachofanyika ni mkakati was kisiasa (political strategy)ktk kujiimarisha ambapo hucheza na saikolojia kama ifuatavo tukiegemea zaidi CHADEMA,
1.Slaa,lisu na mnyika na wengineo kutokuwepo ktk utambulisho ili kuvuta attention ya watu ambapo yatasemwa mengi kupitia medias na maoni ya watu binafsi na social medias hivo uenezi wa umoja huo kiaina ambapo hili limefanikiwa.
2.Tundu lisu kujitokeza akikanusha habari za kutokukubaliana na ujio wa Lowassa na kusisitiza maamuzi yaliyofanywa na vikao halali vya chama na umoja huo ambapo limefanyika.
3. viongozi,wabunge na wanachama kujitokeza kumpokea Lowassa katika kurudisha fomu za uraisi ambapo tumeshuhudia kina Mabere marando,professor safari na wengine wakimpokea Lowassa ambapo limefanyika juzi vizuri.
4. ukimya wa Docta Slaa kuendelea ili kuutangaza umoja huo na mgombea kupitia wale wanaotamani ajiondoe chamani wakijivika mwavuli wa wanamapinduzi halisi dhidi ya wale wasimamiao msimamo wa umoja na maamuzi ya vyama ambapo linafanyika sasa hivi.
5. Docta Slaa kujitokeza hadharani na kutegua kitendawili cha sintofahau iliyodumu kwa muda kwa kuvunja ukimya akionyesha msimamo wake na kusapoti maamuzi yaliyofikiwa juu ya Lowassa ambapo litafanyika rasmi siku ya utambulisho rasmi wa mgombea wa uraisi kupitia UKAWA na ufunguzi rasmi wa kampeni nchi nzima ambapo mwendo utakua mchakamchaka mpaka uchaguzi.
SIASA NI MIPANGO,MIKAKATi NA SAIKOLOJIA.
huwezi elewa kwa hizi strategy kwani ni upepo unaowaacha uchi,huku mkijaribu kuzuia mafuriko kwa mikono
Wanpoteza muda wao hao wasiokuwa na kazi za kufanya. Ukawa ndio habari ya mujini na haondoki mtu ni mchaka mchaka hadi magogoni, na hakuna kulala hadi kieleweke
unatuthibitishia vipi kwamba ni kweli huu ni mkakati wao??