Mijipesa ya Tume katiba Nani Anaitoa.... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mijipesa ya Tume katiba Nani Anaitoa....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by zubedayo_mchuzi, Jul 20, 2012.

 1. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #1
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Habari zenu Wana Jf,Nimechunguli Bajeti ya Wizara ya katiba na sheria Sikuona wala kusikia fungu la mijipesa ya Tume inayoratibu ukusanyaji wa Maoni ya katiba mpya..Mtoa habari wangu Ndani ya Wizara alisema vifungu hvyo vilifutwa kwa usiri mkubwa kwa amri kutoka hukoooo kwenye kiti mukubwaa.Haya yanafanywa kwa maslah ya nani? Kama ni kwa maslah ya nchi Usiri wa Nini?
  Mwenye kujua hyo mijipesa watujuze inakotoka.

  Niliuliza hii kitu na watu wamezimwa mpaka leoooo....
   
 2. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #2
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ni sawa na kujiibia sisi wenyewe. Hao viongozi kwanza wamelazimishwa kuiandika katiba, pili walipoona kuna loophole za kupiga mkwanja wakakubali haraka haraka.
   
 3. WA-UKENYENGE

  WA-UKENYENGE JF-Expert Member

  #3
  Jul 20, 2012
  Joined: Oct 1, 2011
  Messages: 2,904
  Likes Received: 227
  Trophy Points: 160
  Ngoja waje wenye data, labda tutapata details mkuu!:ranger::ranger::ranger:
   
 4. zubedayo_mchuzi

  zubedayo_mchuzi JF-Expert Member

  #4
  Jul 20, 2012
  Joined: Sep 2, 2011
  Messages: 4,922
  Likes Received: 129
  Trophy Points: 160
  Haingii akilini kama wanavyo dhani wao,wizi wizi mpka kwa katiba
   
 5. bornagain

  bornagain JF-Expert Member

  #5
  Jul 20, 2012
  Joined: Jan 25, 2012
  Messages: 3,389
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 135
  Halitakiwi kujadiliwa hapa lipo mahakamani
   
 6. neyl

  neyl Senior Member

  #6
  Jul 23, 2012
  Joined: Nov 23, 2011
  Messages: 128
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  mie, naombeni pakuipata hiyo hotuba ya bajeti wizara ya sheria na katiba kwa bahati mbaya sikupata chance ya kuisoma
   
Loading...