Allineando
JF-Expert Member
- Aug 7, 2016
- 2,064
- 1,124
Nenda kachunguze upya alafu uje na habari sahihi umu sio kutaka kutuletea mambo ya blah hapa bana....Moscow ina billionaire zaidi ya 250
nadhani project nyingi za Bakhressa ni joint venture, kuna investors wengine wapo nje ya nchi ambao wanasaidiana na Bakhressa katika kuwekeza katika hiyo miradi.Bakhresaa nadhani hajaamua kupeleka info.zake forbes lakini kuna uwezekano networth yake imefikia a billi. Maana ile satelite city tu ya kule unguja sio mchezo
hujui ukiongeacho ww, Russia yote mabillionea hawafiki hata 90, alafu mji mkuu wa Russia ndio uwe na mabillionea 250?Nenda kachunguze upya alafu uje na habari sahihi umu sio kutaka kutuletea mambo ya blah hapa bana....Moscow ina billionaire zaidi ya 250
Kumbuka tukisema billionea huwa tuna refer net worth ya mtu in terms of US dollars. Hivyo ili mtu awe billionea, maana yake ni kuwa awe na net worth ya walau trillioni 2.25 za kitanzania. (ambayo ni sawa na bilioni 1 ya US dollars).
1. New York: 103
2. Moscow: 85
3. Hong Kong: 82
4. London: 72
5. Beijing: 37
6. Sao Paulo: 36
7. Istanbul: 35
.
.
.
Africa nzima (continent): 25
Tanzania: 1 ( Mo Dewji )
nb: hapa chini nimeweka bara na nchi, hiyo juu ni miji tu (sehemu ya nchi).
naamini kafika billi yule ila ni kwamba kampuni ina shareholders kadhaa kuliko kampuni kama ya MoBakhresaa nadhani hajaamua kupeleka info.zake forbes lakini kuna uwezekano networth yake imefikia a billi. Maana ile satelite city tu ya kule unguja sio mchezo