Miji saba yenye billionea wengi duniani

Miji saba yenye billionea wengi duniani

Royal Warrior

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2015
Posts
1,166
Reaction score
2,144
Kumbuka tukisema billionea huwa tuna refer net worth ya mtu in terms of US dollars. Hivyo ili mtu awe billionea, maana yake ni kuwa awe na net worth ya walau trillioni 2.25 za kitanzania. (ambayo ni sawa na bilioni 1 ya US dollars).

1. New York: 103
2. Moscow: 85
3. Hong Kong: 82
4. London: 72
5. Beijing: 37
6. Sao Paulo: 36
7. Istanbul: 35
.
.
.
Africa nzima (continent): 25
Tanzania: 1 ( Mo Dewji )
nb: hapa chini nimeweka bara na nchi, hiyo juu ni miji tu (sehemu ya nchi).
 
Bakhresaa nadhani hajaamua kupeleka info.zake forbes lakini kuna uwezekano networth yake imefikia a billi. Maana ile satelite city tu ya kule unguja sio mchezo
 
Kumbuka tukisema billionea huwa tuna refer net worth ya mtu in terms of US dollars. Hivyo ili mtu awe billionea, maana yake ni kuwa awe na net worth ya walau trillioni 2.25 za kitanzania. (ambayo ni sawa na bilioni 1 ya US dollars).

1. New York: 103
2. Moscow: 85
3. Hong Kong: 82
4. London: 72
5. Beijing: 37
6. Sao Paulo: 36
7. Istanbul: 35
.
.
.
Africa nzima (continent): 25
Tanzania: 1 ( Mo Dewji )
nb: hapa chini nimeweka bara na nchi, hiyo juu ni miji tu (sehemu ya nchi).
Tanzania
 
Back
Top Bottom