Dar es Salaam
But Kitulo - Makete ni kuzuri kuliko sehemu yoyote hapa Bongo. Nimetembelea TZ yote sijaona sehemu nzuri kama Kitulo.Naifahamu miji yote ya Tanzania kwa asilimia 90. Na nimeifika.
lini tukatembee kwenu...napasikia tu..Uko sawa kumebarikiwa kila kitu, pia kwangu iringa napaona pazuri flani hivi
Dar es salaam ndiyo mpango mzimaDar es Salaam
Kitulo linganisha na mahale,selous,mikumi nk. mada ni mji uliobarikiwaBut Kitulo - Makete ni kuzuri kuliko sehemu yoyote hapa Bongo. Nimetembelea TZ yote sijaona sehemu nzuri kama Kitulo.
Kitulo linganisha na mahale,selous,mikumi nk. mada ni mji uliobarikiwa
Mtu anajisifia lakini mfukoni hana hata Mia na anakaa nyumbani. Chakula cha kugombea na wazazi. Ni shidaaaaNyie watu wa arusha sijui mtaacha masifa lini?
Kila mahali pamebarikiwa kulingana na mahitaji ya eneo husika
Mkishiba mbege basi mnajiona booora
Punguza uchizi wewe, apa Dar es salaam, wazazi wetu baada ya kufika awo ndugu zako wazaramo wamekimbilia maporini wameogopa changamoto. Ivi wewe unaijua Dar es salaam unasema sema kama kapuku, unajua kuna waindi tumezaliwa nao umu umu kwenye National housing na awajui Kiswahili. Unaelewa kwa nn? Awajui KiswahiliOngea kuhusu mkoa wako mkuu acha kujipendekeza au kutaka kujihusisha au kujishikiza Dar au Pwani. Hii inathibitisha kwamba huwezi kuongea kuhusu TZ bila kuitaja mikoa hiyo ambayo ni ndoto ya kila MTZ kufika au kufanya kazi.
Wazaramo kitambo walijenga mkoa wa Pwani (Dar kama mkoa ulizaliwa mwaka 1972 na ulikuwa ni sehemu ya Pwani).Hizo picha mlizoposti ni sawa na Dar ya mwaka 1930.Hiyo habari ya kuuza haina maana bali wanapangisha msio na makazi mjini na kisha wenyewe wanapanua miji yao.