Mijakujaku ya Prof. Lipumba sasa yaelekea kugonga mwamba

5525

JF-Expert Member
Apr 6, 2014
5,412
6,279
Aliyekuwa Mbunge wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Moh'd Habibu Mnyaa CUF ametumia namba hizi 0657411950 kumpigia Maalim Kombo aliekuwa Mbunge wa Jimbo la Mgogoni kupitia chama cha Wananchi CUF Pemba 2010-2015 kumtaka aingie kwenye usaliti.

Maaalim Kombo Khamis Kombo amepigiwa simu aingie kwenye kile kigenge chao cha usaliti wa Chama cha Wananchi CUF cha kuwatumukia watawala kwa lengo kuzinyamazisha zile wanazoita harakati za kudai haki ya wanzanzibar ya Oct 2015.

Shukurani za pekee ni kwamba amekataa kuwa MSALITI wa chama na nchi yake. Anastahili pongezi kwa kuonesha msimamo.

Source: Maalim Kombo Khamis
Alyekuwa Mbunge wa Jimbo la Mgogoni Kule Kisiwani Pemba kwa Ticket ya chama cha Wananchi CUF.
 
CUF kwani bado ipo ?! Technically it is almost Dead !
 
Mnyaa anatia kinyaa, badala ya kupigania uhuru wa nchi yake anapigania kuendelea kuwa koloni la tanganyika
 
Back
Top Bottom