Hapa ofisini kwetu jamani imezidi na watu wanajadili siasa mpaka wengine wajiita makamanda. Vipi huko kwenu kati ya magamba na makamanda mambo yakoje? Kwetu hapa ukijulikana ni gamba utakosa raha.

dah!! hapa kwetu tunawaza business tu. hatuna habari na siasa wala muda nao.
Tafuteni Ofisi zenu mkajadili siasa zenu , tunafuatilia kwa kina na mtu akibainika hana kazi sheria ziko wazi.
inategemea unafanya kazi idara gani/serikalini au private sector. mimi ofisini kwetu haturuhusiwi.
Tafuteni Ofisi zenu mkajadili siasa zenu , tunafuatilia kwa kina na mtu akibainika hana kazi sheria ziko wazi.
Kasome sheria ya utumishi wa umma halafu urudi utuambie umeelewa nini